Zitto Kabwe: How we lost USD 308m as Tax Revenue from sale of Zain Africa Assets in TZ to Airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe: How we lost USD 308m as Tax Revenue from sale of Zain Africa Assets in TZ to Airtel

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nngu007, Mar 26, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Tanzania Revenue Authority(TRA) informed the POAC that Tanzania lost USD 308m as Tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to Bharti Airtel.


  How we lost the Revenue:

  *TRA argues that we lost revenue because assets in Tanzania were not sold since its owner did not change. These are tax planning measures ‘complex registration mechanisms’ were used.


  *There is a ghost company called Celtel BV which owns Celtel Tanzania and itself owned by Celtel Africa. Celtel Africa was sold to Zain and then to Bharti Airtel but Celtel BV conituned to own Zain Tanzania and even now Airtel Tanzania. So they avoided tax and will continue doing so unless we change our laws to curb tax avoidance measures.

  *We (POAC) have directed Hazina to bring an investigation report on the matter within a month with proposals to change/improve our laws.

  *We have also instructed Hazina to start a process of divestment of 50% of its shares to the public through the Dar-es-Salaam Stock Exchange(DSE) so as to improve corporate goverance(transparency) & curb transcations costing the Nation. This will help us to see the true valuation of shares as a response to any transactions.

  By
  Zitto Kabwe​
   
 2. Abigree

  Abigree Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tz kchwa cha mwendawazimu
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tatizo kama hilo lilitokea USA mwaka 1920 lakini bunge la Marekani lilikaa na kushinikisha ulipaji wa kodi kwa kampuni husika nasi pia lazima tuwe macho kwani Tatizo la Tax avoidance na evasion ni kubwa sana Tanzania na sijui kwanini watunga sheria wetu Bungeni wanalala tu na kuacha nchi inapoteza fedha nyingi. kwani Ukiangalia kanunu za off balance sheet tunatambua asset za kampuni zinatambulika kwa kuangalia manufaa anayopata mtumiaji na risk anabeba nani na si kuegemea kwenye hati miliki pekee. tukiangalia kwa misingi hii kuna uuzwaji na ukodishwaji wa mitambo kama Zain wameuza kwa airtel na kwa sasa mitambo anasimamia airtel basi lazima tuesabu kuna transfer imefanyika na tunaweza kuipima kwa monetary value na kuitoza kodi lakini wasimamizi wetu na watozaji wamekuwa dhahifu mno wa kusoma na kudhibiti mianya ya kukwepa kodi kwani kuna sheria ya kusimamia uamishwaji wa vitu na bidhaa(transfer price) tungeweza kuitumia kudhibiti hili lakini wapi ..............labda mpaka jk atembelee hadi bunge na wakala wa ukusanyaji kodi ndio waanze kufuatilia na kusimamia ukwepaji kodi
   
 4. m

  maswenga Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 10, 2007
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 15
  Nimekuwa nikimfuatilia Zitto Kabwe kwa muda sasa tokea uchaguzi ulipoisha na kuanza awamu mpya ya kazi za kamati yake. Kwa kweli anachokifanya ni UFUNUO tosha kwa Umma kuhusu mapungufu ya kisheria yaliyopo katika vyombo vya Umma ambayo kwa namna moja au nyingine yanaipunguzia serikali mapato kwa kiwango kikubwa mno( mfano ni mahoteli na makampuni ya simu yanayobadilisha majina kila baada ya muda fulani). Lakini pia amekuwa akilenga sana kwenye maeneo mengine kwenye mashirika ambayo yangetumiwa vizuri kwa uwezo wake, tusingekuwa na matatizo ya issue kama za umeme(alitoa mfano wa NSSF ya Malaysia ambapo hapa kwetu hatutaki kusikia NSSF inajihusisha na miradi tofauti). Sasa ukiyajumuisha yote kwa ujumla, utaona kwamba Zitto anatumia madaraka yake ya hiyo kamati kwa ufanisi wa hali ya juu. BIGUP Zitto Kabwe. Endelea kuwa mfano
   
 5. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  sasa ni hatua gani ambazo watazichukua??? Maana umeshaona mmiliki ni mmoja, then ndo huyo huyo kila siku anabadilisha jina ili kuweza kupata msamaha wa ushuru TIC, so what now??? Au ndo yaleyale ya kuita vyombo vya habari na kuongea .... alafu ndo unavuta mlango wa nyuma alafu wanasepa???
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tengeneza cv, ili ukihamia NCCR. Uhame na wapambe wengi. Ulikuwa wapi wakati wa biashara inafanyika? Toka celtel to zain, tulipata mapato? Zitto ulikuwa wapi? leo kuwa airtel ndio unasituka! Ok VODACOM pia wanalipa mapato!? O kwakuwa ya RA huongei?
   
 7. Alwatan

  Alwatan JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Bravo ZItto,

  Pamoja na kwamba unasemwa na circles flani flani kwa baadhi ya misismamo yako isiyoeleweka kwao. Lakini lazima niseme Zitto Kabwe ni kiongozi shupavu sana mwenye kuweka mbele maslahi ya taifa. Kwenye hii ngwe ya pili ya uenyekiti wa POAC umeprove time and again kuweza kusimamia maslahi ya umma hasa yale yenye kuzaa matunda in the medium and long term. Umegrow beyond politics za kufanya maamuzi ya kukupa ushujaa wa leo leo na upo tayari wengine waje kusifiwa siku za usoni kwa wewe kusimamia maamuzi magumu leo.

  Huo ndio uongozi uliotukuka. Nakupongeza sana Mh. Zitto Kabwe SHUPAVU!
   
 8. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli sikuelewi kwanini unamkasirikia Zitto kwa usongo.

  Kampuni A trading as x, y na z sasa kama Zitto ndio ameyajua leo wewe unasema aangalie zamani kwa nini wewe hukumwambia mbunge wako awasilishe?

  Kampuni nyingi zinagame ya kubadilisha majina kama na ya South Africa yamejaa na game hii kila wakati free tax inataka isha wanabadili jina hata ya maduka

  Zitto thumbs up its about time wanasumbua waingizaji magari huku wanalea makubwa
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Ujinga mtupu kama hii kampuni wanaonekana kucheza na makaratasi waambiwe walipe kwa ridhaa yao kama hawataki wafukuzwe hii ni nchi sio familia hakuna kubembelezana. Hivi hawaoni mfano wa UK kuna kitu inaitwa SOCA kama hukulipa kodi wanataifisha vitu vyako na hawafuati sheria yoyote kwa sababu wewe ndio umeanza kuwaona wao hawana akili. Huyu rais tumempa madaraka na nguvu kubwa mbona hazitumii then anakuja kulalamika.


  Fukuzeni hawa vimburu kama hawataki kulipa hiyo pesa now! I mean kampuni inajulikana inaiba then tunawachekea na kulalamika kwenye nchi yetu wenyewe.


   
 10. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mabadiliko kila kukicha from TTCL - Celtel - Zain - Airtel na sijui nini kesho: Sio bure wanafanya. Tunaingizwa mkenge.
   
 11. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni heri yeye amekuwa na udhubutu wa kuliongelea hili hadharani,kwani viongozi wengine wapo kimya huku mali zikiendelea kuteketea hizi sheria za kodi zina mapungufu makubwa zimesababisha upotevu mkubwa wa mapato
   
 12. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,592
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  ZItto tupe raha mwanawane, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha na tumedanganywa kiasi cha kutosha, unyonge wetu ndio umesababisha tunyanyaswe, tuonewe, uhuru wetu umepotea, umebaki uhuru wa bendera tu.
  Tunaiunga mkono POAC katika juhudi zake(zile nzuri lakini), tunaomba hawa waliofanya hivi wasionewe huruma, kwa sababu motive wa waliyoyafanya ni dhahiri kutudhulumu Watanzania.
   
 13. S

  Salimia JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu, kila jambo lina mwanzo wake. Kama mtu amegundua udhaifu fulani leo hii ambao umekuwapo miaka nenda rudi, anapaswa kupongezwa. Mbona wewe na mimi hatukugundua? aua wabunge wengine? Mfano,watu wanaongelea marekebisho ya katiba sasa, ina maana utasema mbona hawakufanya hivyo mwaka juzi, au jana? Lazima tuanzie mahali fulani. Anastahili pongezi yeye na kamati yake, na kama si wao, mimi na wewe tusingejua, na hata kama tungejua, tungefanya nini? Wao wamechukua hatua. Kudos Zitto!!
   
 14. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  this is what we want to hear from politicians. We need facts based on figures. Sio kuzungumzia uchaguzi weeeeeee na kusahau mambo ya msingi. Watu hawatachangia kwa kuwa Zitto amesema. Lakini kwa ujumla strategies zao ni modern na wanahitajika watu wenye kasi ya kufikiri ndio mtaenda sambamba. Ingawa majungu lazima. Ulishayasema mengi saana watu wanapinga baadae wanywea. Suala la dowans, kutoa nje ya bunge wkt rais akiingia nk.
   
 15. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Big up POAC! Na msiishie hapo bali pelekeni na mabadiliko ya sheria husika ili pale wanapotoshea kodi yetu pazibwe.
   
 16. S

  Soyinkwa Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  me nalia na izi taxlaws zetu coz evasion and avoidance zitaendelea kila kukicha...inauma sana...bt it will reach a tym...not tomorow bt one day...when Tanzanians will ask for theirs...
   
 17. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nyie mmeona airtel tu,BARRICK GOLD WAO KILA SIKUWAO WANAPATA HASARA KUKWEPA KULIPA KODI,30M DOLA IS PENUT TO WHAT BARRICK NID TO PAY
   
 18. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  the owners of celtel BV wamebadilika kutoka celtel africa kwenda zain then bharti,
  1.je celtel BV ni kampuni ya nchi gani?
  2.je watu wa serikalini/tra walifanya juhudi gani kudeal na celtelBV baada ya transaction ya kwanza ya kutoka celtel africa kwenda zain, hapa ndio tra/hazina walitakiwa waiambie serikali ibadilishe tax laws ili iweze ku deal na parent company
  3.je sheria ya tax kuhusiana na parent company inasemaje?
  4.serikali inamiliki 40% kwa hiyo inawakilishwa kwenye board, je hao board members ni wakina nani (wafukuzwe haraka)
  5.je board member wamechukua hatua gani kuhakikisha capital gain tax inalipwa

  kweli hichi ni kichekesho cha mwaka yani nchi inamiliki 40% ya kampuni halafu inashindwa kuhakikisha ile kampuni inalipa taxes
  serikali haina haja ya kwenda nje kutembeza bakuli kuomba $100m nakuacha $300m za kwake, seriakli inaweza ikafanya uendeshaji wa airtel kuwa mgumu mpaka walipe all appropriate taxes
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Badala yab kukusanyab makodi makubwa kama haya serikali ianbaki kufukuzana na sisi akina yakhe katika PAYE. Kila siku Hazina na TRA wanalalamika kuwa tax base ni ndogo, kumbe kuna uhuni kama huu unafanyika na wanaufahamu fika. tatizo ni kwua sisi walipa kodi wa tanzania ni wapole sana kiasi kwamba hatuhoji kwa kina tax mesures ambazo serikali inachukua. Tunaposikia kampuni inabadili umiliki, tunaambiwa kijuu juu na hakuna anayehoji mambo kwa undani kama hivi. kama si Zitto na kamati yake haya wala tusingeyajua. kwa hakika hii nchi inaliwa na watu wengi sana lakini macho yetu tunayaelekeza kwa wachache tu
   
 20. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Zitto pamoja na kamati ya POAC, Big up kutuonyesha yanayoendelea humo. Hivi hii kitu kinaitwa Good governance inafuatwa kweli, au imekuwa ni policy ya kuwekwa kwenye shelves. At least tuna mmoja mwenye audacity ya kuongelea haya mambo. Isiishie hapo watafutwe hawa jamaa walipe hiyo kodi
   
Loading...