Taarifa, jambo muhimu katika biashara.

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Katika karne hii ya 21, Karne ya utandawazi, Taarifa ni kitu muhimu sana katika maisha yetu.Ni taarifa hizo hizo ambazo huleta utofauti kati ya kufanikiwa au kushindwa kufanikiwa katika eneo husika la maisha.Katika uwanja huu wa biashara Taarifa za kweli, sahihi na haraka, zinahitajika ili kuweza kuboresha na kuleta mabadiriko chanya katika biashara yako. Kampuni ya Chinaworldbuz (CWB) inakuletea taarifa za kweli,sahihi na zenye kutumika katika kuboresha biashara yako,Taarifa hizo ni pamoja na ni namna gani unaweza kupata bidhaa zozote uzitakazo kwa bei nafuu kutoka nchini China. Tunakukaribisha kwenye semina na mikutano yetu itakayofanyika kwanzia January -February katika mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya na Arusha. Ambapo Kampuni ya CWB itatoa mafunzo na ushauri kwa wafanyabiashara na wajasiriamali watakao kufanya biashara katika soko la ushindani na lenye viwango vya kimataifa. Pia tunakukaribisha kwenye ofisi zetu zitakazofunguliwa rasmi January 2014, katika maeneo ya Ushirika Tower, Jijini Dar es Salaam.
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi +8613524159707,justineluvanda@gmail.com au shafiihamisi@gmail.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom