Wakuu
Pamoja na wadau mbalimbali ushauri wenu nataka kujiingiza kwenye hii kazi ya uchimbaji dhahabu mtaji nina Milioni 5
Location bado sijafikiria sana ila nimewaza nitatafute mashine ndogo ya...
Leo nimeingia kwenye kioski kimoja hapa mtaani kwetu, nikiwa na lengo la kununua bidhaa. Tatizo nilikuwa sina pesa taslimu (cash), nikamwambia muuzaji hivyo. Akanijibu kwa utulivu, "Usiwaze...
Je una fahamu kuhusu biashara ya Carbon Credit?
Leo nataka nizungumze kidogo kuhusu biashara ya carbon Credit.
Biashara ya Carbon Credit inahusu uuzaji na ununuaji wa emmision rights.Yaani uuzaji...
Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara...
Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba...
1. Mdau aliyekua anatafuta mashamba kwaajiri ya ufugaji wa mbuzi Mkoa wa Tanga naomba nitafute, zipo hekari saba na nusu bei ni 1,700,000 kwa heka moja ,mmiliki anauza eneo lote-0718884570
2...
Wakuu,
Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro.
Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.
Je ni sehemu salama pia?
Asanteni.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzania katika sekta...
Kuna kipindi kwenye maisha ya kijana ambapo pesa inaanza kuingia.
Mshahara umeongezeka. Biashara inaanza kutoa faida. Kazi inaanza kukulipa. Umepata gepu la kupiga pesa kazini. Mteja mmoja...
Poleni na majukumu wakuu.
Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado...
Mdau wa uchimbaji mdogo katika Kijiji cha Butobela, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita Vijijini, Mkoa wa Geita. Mgodi huo uligunduliwa na wachimbaji wadogo, lakini baada ya kugunduliwa, watu wenye...
Jamani aliye na uzoefu wa hii biashara anipe maarifa zaidi Nina mpango wa kuanza &
Inatakiwa niwe na mtaji wa sh ngapi ili nifanye kwa ubora zaidi ?
&
Profit yake uwa inakuaje kwa anaye hijua...
Habari za majukumu wana-jamii,
Katika ulimwengu wa sasa unaoenda kasi kidijitali, kuwa na tovuti (Website) si jambo la anasa tena, bali ni uhitaji muhimu sana kwa mtu binafsi, kampuni, au taasisi...
👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼
PLOT FOR SALE
⚖️Size: Square meter 6,300
📝Doc: Title deed
💰Price: 1B TZS
📍Loc: kigamboni Vijibweni
Eneo ni Zuri kwa uwekezani, Yard au Godawn
Call 0652180400
Unajua kuna watu wanapata mamilioni kwa kuuza nyumba ambazo si zao, magari ambayo hawajayanunua na viwanja ambavyo hawavimiliki?
Hiyo ndiyo nguvu ya biashara ya udalali!
Fikiria kijana mmoja...
Nitaongea ukweli bila kupaka sukari.
Mwaka 2026 mteja hakutafuti kwa kuuliza kwa jirani.
Anachofanya ni kuandika Google:
“Hospitali nzuri karibu nami”
“Car dealer Dar es Salaam”
“Law firm...
Habari,
Baada ya kujifunza biashara ya forex kwa muda usiopungua miaka 8 hadi sasa bila mafanikio.
Nimeona njia sahihi ya kufanikiwa katika biashara hii ni kupata watu sahihi wenye uzoefu na...
Nawasalimu wakuu woote wana JF. Mwenzenu nimepata kamshiko kama 8m sasa ninataka ninunue bajaj najua hapa mjini Dar zinatumika sana, naomba kwa yeyote mwenye uzoefu anisaidie ni Shs ngapi dereva...