Wakuu naomba tujadili kwa pamoja baadhi ya fursa ambazo wajasiriamali tunaweza kuzipata. Michango yenu inaweza kuzingatia SWOT ANALYSIS ili mtu anapoandaa project plan yake iwe virahisi zaidi...
Amani iwe kwenu wadau.
Nimekuwa nikitafakari namna watu wanavopata shida ya kupata msosi kwa wakati wanaotaka wao na nikagundua kuwa kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mathalani mtu anaweza taka...
Katika huo wa mradi wa Tundwi-Songani Kigamboni Dar watu tulilipishwa pesa taslimu kwa ajili ya kiwanja/viwanja; sasa ni karibu mwaka mzima umepita baada ya kupeleka picha na deposit slip...
Mimi ni muhitimu wa chuo kimoja wapo apa nnchini katika ngazi ya diploma, nilikua nawishi siku moja niwe moja kati ya wajasilia mali wakubwa apa nchini ila tu Tatizo linakuja pindi tunapofikia...
Nilikua naitaji kufahamishwa na kupewa maelezo ya utendaji kazi, faida na hasara kuusiana na biashara ya mtandaon ijulikanayo kma referral kma cjakosea
Habari wakuu,
Wakuu mi nahitaji nigandishe mtindi kwa njia zakawaida kabisa nyumbani kwani sina uwezo wakuwa na kiwanda.
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ninaomba kufahamu kwa wajuzi wa hili...
Wasalaam wakuu, kama kichwa kinavyojieleza,nina haja yakuanzisha biashara ya kuuza madawa ya binadam( nmefikiria zaidi ile ya kuuza jumla pharmacy) ila ata reja reja wazoefu nisaidieni
Naomba...
Kwa anayeijua vizuri taasisi hii Naomba anisaidie tafadhali,
Je?! ni kweli wanakopesha ndani ya dk 35 tu baada ya kuwarushia pesa ktk M-pesa na Tigo pesa?!
Naamini kuna wadau wameshafanikiwa...
Habarini wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya. Wadau wa jukwaa hili ninahitaji ushauri wenu kidogo kuhusu biashara ya Mahindi huko kiteto,kuna bwana mdogo wangu mmoja kaniomba shilingi 4 million...
Habari ya wakati mwema wanaJukwaa na hadhira kwa Ujumla
Nahitaji kuanzisha biashara Yangu binafsi ila kwa sasa nina mtaji wa 35000 na Biashara nataka iwe ya mtaji wa 500000 na Ntakamilisha iyo...
Ndugu zangu napenda nianzishe biashara ya majiko ya gesi kwa ajili ya matumizi ya kupikia lakini kiukweli biashara hii siijui vizuri, tafadhali naomba msaada wenu.
Habari za jioni wadau
Mimi ni mfanyabiashara wa kati hapa dar
in short wote tunafahamu jiji la dar liko vizuri kibiashara kwasbb ya uwepo wa ofisi kuu za serikali hapa moja ya point inayochangia...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair consolidated to the downside last week, moving south by only 100 pips and closing above the support line at...
Habari za majukumu wapendwa.
Ni matumaini yetu kwamba mko vizuri katika hali zote, tunashukuru kwa hilo.
Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya mkakati au mikakati ya kibiashara (Business...
sorry Admin
soma kwa makini hii sana inamhusu kila mtu hapa haijalishi umri wala jinsia wala kipato wala elimu au cheo
pana group jipya limeanzishwa kwa ajili ya kama umepoteza kitu chochote...
Habari,
Ni matumaini yetu kwamba nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa.
Leo tungependa ku-share nanyi juu ya miradi (Projects) na usimamizi wake kiujumla (Projects...
Ndugu wadau naomba niwaleteeni habari njema,juu ya ujenzi bora wa majengo yenu kwa kutumia bidhaa bora za aluminum, sstainlesssteel na vioo kutoka CADASP. Sisi ni class one company ktk kusupply...
Napenda kuwapa taarifa kwamba benk ya NBC Mtwara inahuduma mbovu kupitiliza ubovu. Kuna counter 5 na teller Mmoja anaehudumia wateja waliojazana paka mlangoni. Wafanyakazi wengine wanakunyachai na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.