Rapture Man
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 439
- 145
Katika huo wa mradi wa Tundwi-Songani Kigamboni Dar watu tulilipishwa pesa taslimu kwa ajili ya kiwanja/viwanja; sasa ni karibu mwaka mzima umepita baada ya kupeleka picha na deposit slip sijasikia lolote toka UTT-PID. Nilitembelea ofisini kwao miezi 6 iliyopita nikaambulia ahadi tu.
Mambo yakoje? Au nianze kuhesabu maumivu?
Ufafanuzi tafadhali kama UTT wamo humu.
Update:
..........................................................................................................
Mwenye malalamiko dhidi ya UTT-PID afike ofisini kwao; ni kama kuna 'applicants' hawakupata 'status' toka UTT_PID kwa sms, simu au Posta. Mie nikiwamo!