Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Natumai mu wazima wote naombeni kufahamishwa bei ya vitu hivi kwa wanaovifahamu bei zake.Tv ya LCD inch 42 na 52 aina ya Sony na, Tv ya LCD inch 42 na 52 aina ya Samsung.tafadhalini nisaidieni...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Salaam wakuu wanaJf Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Ninahitaji kununua kifaa tiba fulani toka katika kampuni ya Maya medical equipment limited yenye anwani hii hapa:No 10, Haiyue building ,HaiBin garden, Shangjiao Dashi town, Panyu...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Morning wadau,naomba kuwe na jukwaa la hisa ili kutoa taarifa na kujua zaidi kuhusu hisa hapa hapa jamii forum
1 Reactions
0 Replies
862 Views
Kupitia tovitu/website ya Benk Kuu ya Tanzania wamesema sarafu zote zilizowahi kutolewa na Benki hiyo bado zinatumika. Hivyo tu'hamasike' kuzitumia. Source: Bank of Tanzania (BOT): Home Page ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nasikitika sana kuandika hii complain, maana imenifanya niichukie kazi ya uwakala wa vodacom m-pesa kutokana huduma mbovu nilizopata kutoka kwenye kampuni kubwa kama ya vodacom, kwanza customer...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Wikiend Wadau, natumai mko poa, nafikiria nijihusishe na Biashara ya Mpunga, lakini sio katika kununua au kuuza mpunga wenyewe, bali kuvuna au kukoboa mpunga wa watu wengine. Yaani...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Naombeni ushaur kidogo natalajia kuingia chuo 1st yr mwez wa 10 mwaka huu cjajua ntapangiwa wap ila my target ni UDSM na ARU ss nafikiria nikifika chuon nifanye biashara sasa cjajua nifanye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anaitwa Mohamedy Dewji, mjasiriamali mwenye nia ya kuinunua simba sporty club ili iweze kupiga hatua za kimichezo ona mikakati yake hapa na ndoto zake. Jina la mkurugenzi mtendaji na Rais wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair assumed a bullish journey last week, going upwards 230 pips. Price topped at 1.1195, closing above the...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Naomba kusafishwa namna mtu anaweza kuafika katika maduka ya nguo pamoja na viatu nakuja kuuza Tz. Unatakiwa kuwa na angalau sh ngapi kwa ajili ya safari, malazi na manunuzi ya mzigo. Anayefaham...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni hivi majuzi tu Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda aliunda tume kuchunguza sababu za kufeli kwa wanafunzi wa Form Four iliyopelekea kuwa na matokeo mabaya nchi nzima. Tunakuomba Mheshimiwa...
4 Reactions
58 Replies
11K Views
Habarin za. Muamko ndugu zangu,Kwanza kabisa nachukua nafas hii kumshukuru mungu kwa kutupa pumzika na kutupa afya njema na waliohospitalin mungu awatie wepes ktk malazi yao yote. Kila anaepewa...
9 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari wana JF. Naomba mnifungue macho kuhusu kulipa kodi kwa mkupuo na kulipa item kwa item. Mimi mdau katika hii biashara ya Suzuki carry ambapo ninalipa Income Tax kwa kila gari inayofikia...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
WanaJF habari, Nina Suzuki Carry nataka kumpa Dereva ambaye atakuwa akiniletea malipo kila baada ya wiki moja.Mimi si mzoefu sana katika biashara hii hivyo nimejaribu kuwauliza watu mbalimbali...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
SUPER TRADING STRATEGIES – TAPPING THE HIDDEN RICHES IN THE MARKETS “One of the best ways to learn about anything is to read about it. Books, articles. Even just marketing pages. Find out what...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Wakuu ninatumaini mpo poa sana Kutokana na hali ngumu ya maisha na watu wengi kukosa sifa za kupata mkopo nimekuja na wazo kwa wale waliopo mwanza wwnye biashara ndogo ndogo au walioajiriwa...
0 Reactions
4 Replies
957 Views
Naamini nitakuwa nimepata jukwaa huru la kushare kile ambacho kipo kwenye mind yangu na kinasumbua kwelikweli. Wadau ninaomba msaada wa mawazo kati ya haya mawazo mawili, kupanda miti ekari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Abu Dhabi. Kutokana na utamaduni uliojengeka kwa nchi za Falme za Kiarabu, uwapo wa vivutio na ukarimu kutoka kwa wenyeji ni mambo ambayo yameifanya Abu Dhabi kuwa sehemu muhimu kwa utalii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ni baada ya kufuatilia trend ya masoko kwa zaidi ya miaka minne mfululizo. Ni hivi, kuna bonde moja liko kati ya wilaya za Mpwapwa na Kilosa, linaitwa Lumuma. Pale kwa sasa wameanza kuvuna...
9 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom