structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Amani iwe kwenu wadau.
Nimekuwa nikitafakari namna watu wanavopata shida ya kupata msosi kwa wakati wanaotaka wao na nikagundua kuwa kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mathalani mtu anaweza taka kula chakula saa kumi ila karibu sehemu nying zinakuwa zishsmaliza kuuza chakula kwa mchana na wanasubiri kuanza kile cha usiku. Lakini pia kuna wakati watu wametoka kwenye mizunguko yao usiku wa manane na wanataka kula chakula ila hawakipati. Sasa nimekuja na wazo hili la kuanzisha ATM za misosi.
Wazo hilo linakuwa katika utaratibu ufutao:
1: Utengenezaji/uagizwaji wa hizo ATM. Hizi zinatakiwa kuwa na kama oven kwa ndani kisha zinaweza kuwa na matundu kama sita (6 lines) hivi yakuruhusu aina tofauti tofauti ya vyakula kutoka.
2: Hizo ATM zinawekwa sehemu zenye watu wengi mathalani kariakoo na kwingineko.
3: Vyakula vitakuwa vinapikwa kawaida,kisha vinawekwa kwenye package zake halafu zinapangwa kwenye visahani ndani ya oven iliyopo kwenye ATM. Katika kila line kunakuwa na aina ya chakula kimoja.
5: Then mtu akitaka kula anafika kwenye ATM (ambayo zile line 6 zitakuwa zinaonesha vyakula, mfano, walinyama, pilau, biriani kwa line tatu za juu halafu 3 za chini zinaonesha mathalani vyakula vya asili kama ndizi nyama, makande, ugali dona) anaweka fesa na anabonyeza laini ya chakula anachokihitaji na kwenda kupata msosi wake ukiwa wa moto freeesh.
6: Baaadae ATM hizi zitaunganishwa za accounts za wateja ili wakitaka kulipa walipe directly kupitia acounts zao. Hii sasa itatoa fursa ya pili ya ushirikiano na benki pamoja na mitandao ya simu.
Hilo ni wazo tu wadau nakaribisha michango, Je mnalionaje? Karibuni kwa mjadala.