JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa.. . Unaanza kuona gari...
25 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari ndugu wana jamii forum, Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha...
7 Reactions
9 Replies
638 Views
Hii gari ni TAMU na inakimbia
18 Reactions
164 Replies
24K Views
Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha...
23 Reactions
109 Replies
9K Views
Hii ni engine ya Audi A6, 2.0L mwaka 2009. Hiki kifaa kwenye picha kilichozungushiwa mstari kinaitwaje kitaalamu??? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo...
10 Reactions
148 Replies
19K Views
Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Wife toka last week anataka nimnunulie Toyota Premio ya 2007. Nimeiangalia hii gari engine yake ni 1990 CC, D4. Kuna kipindi mafundi wengi walikuwa wanaziogopa sana engine za D4. Je, wadau...
3 Reactions
33 Replies
21K Views
✓Gari kukosa nguvu ni kitendo cha gari kushindwa kufanyakazi kazi katika uwezo wake wa kawaida kitaalamu matatizo yanayopelekea gari kukosa nguvu yamegawanywa katika makundi matatu nayo ni...
2 Reactions
1 Replies
573 Views
Salaam kwenu, Kati ya malengo yangu mwaka huu ni kubadilisha gari, basi nikaingia sokoni kusaka gari mpya nikavutiwa na Toyota Rush ambayo ina 4 wheel drive na pia cc zake sio kubwa ni 1490 ila...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari ndugu wana Jamii forum, Leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatizo. Naomben...
3 Reactions
7 Replies
271 Views
Brake fluid kuvujia onto brake booster housing... yaani kwenye makutano ya Master Cylinder na Booster panavuja mpaka rangi ya booster housing imemenyeka (booster paint peeling off) coz of such...
2 Reactions
38 Replies
562 Views
Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania. Gari hizi zinavitu vingi sana...
22 Reactions
220 Replies
37K Views
Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari. Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
1. Nissan Qashqai 2. Nissan X-Trail ya 2014 3. Honda CR-V 4. Hyundai Tucson 5. KIA Sportage 6. KIA Sorento 7. Mazda CX-5 Nitapambana mpaka nilitie mkononi gari moja.
6 Reactions
101 Replies
4K Views
Wakuu habari, Naomba kujua gari Aina ya mark 11 GX 110 engine 1G-FE vvti inatumia oil lita ngap maana wengine wanasema Lita 4 wengine lita5 na Mimi nimeweka lita4 nimeona kabisa ipo full kwenye...
1 Reactions
1 Replies
188 Views
Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka...
5 Reactions
13 Replies
431 Views
Nataka kununua toyota Rumion, naomba uzoefu wenu kwenye hii gari. Toyota Rumion
5 Reactions
112 Replies
28K Views
Habari Bandungu.! Nafakiria kuvuta hii chuma hivi karibuni, ila kabla sijavuta naombeni experience kwa ambao tayari wamezitumia kuhusu realibility, stability handling na fuel consumption...
2 Reactions
5 Replies
550 Views
Back
Top Bottom