🚨Subaru Trezia a.k.a "treasure"

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
103
388
1662449779457.png

Mnamo mwaka 2008 kwenye Bar flani Japan mitaa ya Shibuya Maboss wawili walikua wanamwagilia moyo, Hawa ni [Ikuro Sugawara wa Toyota na Teiko Kudo wa Subaru] wakiwa na wapenzi zao..
.
Wakiwa wanamwagilia moyo wapenzi wao wakawa wanabishana, mabishano yalikua kuhusu gari nzuri kati ya Toyota Ractis na Subaru Justy..
.
The funny thing bibie wa Boss wa Toyota alikua anapigia chapuo Subaru Just wakati Bibie wa Boss wa Subaru alikua upande wa Ractis, Sasa ligi ikawa ya moto mpaka ikaleta kutokulelewana na kelele..
.
Issue ilipofikia kwa Maboss wenyewe wakaone isiwe kesi wakaamua hizi gari mbili ziunganishwe watoe gari moja na hii ndo ikaleta idea ya Subaru Trezia kuzaliwa 2010 then kelele zikaisha kwa hawa warembo wa Kijapan..
.
Mwaka 2010 Subaru Trezia akaingia sokoni na hapa ndo nikajua mama chanja huwa ni viongozi wa shughuli za serikali wakati Mkuu wa kaya ni tittle tu..
.
Anyway muungano wa Toyota Ractis na Subaru Justy ulileta gari nzuri sana ikijulikana kama Subaru Trezia, sasa andaa popcorn kaa vizuri nikupe madini kuhusu hii gari..
.
1662449839707.png
1662449955819.png

.
Subaru Trezia imekua kwenye uzalishaji wa generation moja tu ambayo imedumu toka 2010-2016, Ilipoacha kuzalishwa na Ractis nae uzao ukaishia hapo hapo..
.
Trezia ni moja ya hatchback nzuri sana ndani imepewa space ya kutosha na roof yake iko juu ikiwa na floor flat, Seats zimepangika vizuri zikiwa na legroom ya kutosha tu mbele na nyuma yani hapa hata Bonge au mtu mrefu anakaa vizuri tena comfortable kabisa..
.
Seats wameziposition katika style ambayo kama dereva inakupa muonekano mzuri wa barabarani, dashboard imepigwa sport look Ikiwa na round flani inayokupa nice view, Pale kwa CD/Radio player pako na Navigation wamepaweka vizuri tu..
.
1662450003514.png
1662450019688.png

.
Iko na airbags 6 yani hata ukila mzinga chances za kutoka salama ni kubwa, cabin stotage zipo za kutosha kwa ajili ya kuhifadhia vitu kama simu, pochi, mawani..
.
Bila kusahau wameipa cupholders nne yani kama Bibie amesahau kufunga kifursana hakiwezi kumwagika hata ukipiga shimo..
.
Milangoni kuna panel storage nzuri tu same to chini ya dashboard na pale kati ya seat za mbele, Boot ipo ya kutosha ni nipende kusema katika gari ndogo zenye boot kubwa na hii ni mojawapo..
.
Boot lake ni [429 Litres] shangazi kaja kubwa 2 zinakaa, + ina option ya kulaza seats ili kupata nafasi kubwa zaidi na ukilaza seats kinakua kama ki mini van wataalamu wa cuba wazee wa mizigo na wafanyabiashara watakua wanaelewa hapa..
.
1662450090098.png
1662450121801.png

.
Kwa nje wameipa taa za LED zikiwa na flat rear Cyrstal LED tail lights na shape ya body iko more angular bila kusahau alloy rims na foglights, bumbers, grille, bonnet na fenders wamezi design ki unique na kitofauti sana, Yani kama unataka ki hatchback kidogo cha tofauti hii gari ni option nzuri sana, scroll picha utaona..
.
Gari ina grades zikitofautishwa na features, kuna Subaru Trezia i hii ni base model ikiwa na 1.3L au 1.5L engine, 2WD/4WD na steel rims, Kuna Subaru Trezia iL ikiwa equipped na 1.3L au 1.5L, 2WD/4WD, alloy rims na fog lights..
.
Mwisho ni Subaru Trezia i Type Euro ambayo ni Sport model ikiwa na 1.5L engine 2WD, alloy rims, fog lights na paddle shift [vya kubadilishia gear manually kwa steering]..
.
1662450330934.png
1662450344956.png

.
Engine ziko option 2 kuna 1.3L 1NR-FKE/FE na 1.5L 1NZ-FE zikiwa linked na CVT transmission na zikiwa 2WD na 4WD kwa engine kubwa ya 1.5L..
.
Mafuta gari inatumia vizuri sana yani kwa 1.3L inakupa wasitani wa 17-21Km/L wakati 1.5L inaenda wasitani wa 15.6Km.L na full tank ni 42 Litres na acceleration yake ni wasitani wa 11-13 sec kutoka 0-100Km/h of which ni nzuri kabisa..
.
Tena sababu ground clearance ni ndogo [inches 5.7] so hata ikiwa speed barabarani iko vizuri unapata utulivu flani sio kama Vitz..
.
1662450392230.png
1662450409690.png

.
Vitz ikiwa speed inageuka kitenesi unaweza hisi umepata kifaduro kumbe gari inadunda barabarani, sema usije kanyaga sana kwenye kona kali kinaweza kukutoa barabarani ikawa balaa..
.
raia wakamshukuru Mungu kwa maisha yako hapa duniani wakati bado unahitajika, halafu kama unatumia njia mbaya pia hakifai kiko chini labda ukanyanyue kidogo ingawa utagusa stability yake..
.
Kwa watu wa safari na kubeba mizigo 1.5L ni engine nzuri sana, Hii 1.3L ikila mzigo Sana inakua kama underpowered na ina struggle ku accelerate so inakua safi ikitumika kwa matumizi light kama trip towns..
.
Kama unalala Chalinze supu Segera lunch Himo dinner kwa mromboo chukua engine kubwa Mzee ya 1.5L utaenjoy sana hasa kwa safari ndefu na kubeba mizigo..
.
1662450489327.png
1662450521086.png

.
Maintenance iko poa, spare parts zinapatikana as hii gari imeshare platform na Vitz so wanashare parts nyingi kasoro body parts, Engine parts na service parts zipo za kumwaga tu na bei ni kamserereko, Body parts ni issue so endesha vizuri usije pasua taa na bumpers..
.
Unaweza chana bumber au ukavunja taa ukaenda kuuliza dukani wakakupa bei ukahisi muuzaji amesikia bumber la LC V8 kumbe ni Subaru Trezia so kuwa makini Mzee maana haya magari ni mazuri ila yakila mzinga kuyatengeneza kama huna comprehensive huwa inauma zaidi ya tozo vile..
.
Engine zake ni nzuri na ni moja ya reliable engine za Toyota [engine iko kwa Vitz pia], kikubwa sababu juu ziko wazi haishauriwa kuiosha kwa pressure washer na maji sababu umeme ni mwingi na maji yanaweza penye sehemu sio ikaleta shida..
.
1662450549758.png
1662450563682.png

.
Tofauti na hapo ukikipa service Vizuri ukaweka vilainishi sitahiki kwa engine utaenjoy gari utakula nayo maisha na wewe na fundi mtakua mnakutana wakati wa kumwaga oil tu..
.
Gearbox zake ni za CVT so ziko sensitive na vilainishi ukitumia vilainishi ambavyo sivyo utaua hiyo gear box [transmission failure]..
.
Hii gari kuitoa Japan mpaka nyumbani kwako inagharimu 14-16M++, kama utahitaji gari kama hii au nyingine kuagiza, kununua showroom au mkononi karibu..
.
Tuko na network ya trusted dealers kwa Japan,UK,Singapore etc dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa bei safi..
.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi salama na unaojali muda wako, simply tupigie 0714547598 au tu WhatsApp au njoo ofisini Posta Phoenix House mkabala na Mkapa tower tutaku assist..
.
1662450652098.png
1662450662106.png

.
Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo..
.
1662450780570.png
1662450800262.png
1662450834036.png

.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare na wengine wapate haya madini, lengo ni kukupa taarifa sahihi ili ufanya maamuzi sahihi [Informed decision] unapohitaji gari flani..
.
Asante
0714547598
Samatime Car Dealers Company Limited
 
Attachments

  • 1662450603411.png
    1662450603411.png
    14.8 KB · Views: 52
  • 1662450614842.png
    1662450614842.png
    42.4 KB · Views: 50
Hiyo picha ya gear box hapo mbona sio CVT bali ni gear box ya automatic transmission ya kawaida?!
 
Unaamisha hapo kwenye transmission module (gear lever)? Na kama ni hivyo ya CVT ingeonekanaje hapo tofauti na hiyo (nini kingekuwepo au kisingekuwepo)?
 
View attachment 2347324
Mnamo mwaka 2008 kwenye Bar flani Japan mitaa ya Shibuya Maboss wawili walikua wanamwagilia moyo, Hawa ni [Ikuro Sugawara wa Toyota na Teiko Kudo wa Subaru] wakiwa na wapenzi zao..
.
Wakiwa wanamwagilia moyo wapenzi wao wakawa wanabishana, mabishano yalikua kuhusu gari nzuri kati ya Toyota Ractis na Subaru Justy..
.
The funny thing bibie wa Boss wa Toyota alikua anapigia chapuo Subaru Just wakati Bibie wa Boss wa Subaru alikua upande wa Ractis, Sasa ligi ikawa ya moto mpaka ikaleta kutokulelewana na kelele..
.
Issue ilipofikia kwa Maboss wenyewe wakaone isiwe kesi wakaamua hizi gari mbili ziunganishwe watoe gari moja na hii ndo ikaleta idea ya Subaru Trezia kuzaliwa 2010 then kelele zikaisha kwa hawa warembo wa Kijapan..
.
Mwaka 2010 Subaru Trezia akaingia sokoni na hapa ndo nikajua mama chanja huwa ni viongozi wa shughuli za serikali wakati Mkuu wa kaya ni tittle tu..
.
Anyway muungano wa Toyota Ractis na Subaru Justy ulileta gari nzuri sana ikijulikana kama Subaru Trezia, sasa andaa popcorn kaa vizuri nikupe madini kuhusu hii gari..
.
View attachment 2347325View attachment 2347328
.
Subaru Trezia imekua kwenye uzalishaji wa generation moja tu ambayo imedumu toka 2010-2016, Ilipoacha kuzalishwa na Ractis nae uzao ukaishia hapo hapo..
.
Trezia ni moja ya hatchback nzuri sana ndani imepewa space ya kutosha na roof yake iko juu ikiwa na floor flat, Seats zimepangika vizuri zikiwa na legroom ya kutosha tu mbele na nyuma yani hapa hata Bonge au mtu mrefu anakaa vizuri tena comfortable kabisa..
.
Seats wameziposition katika style ambayo kama dereva inakupa muonekano mzuri wa barabarani, dashboard imepigwa sport look Ikiwa na round flani inayokupa nice view, Pale kwa CD/Radio player pako na Navigation wamepaweka vizuri tu..
.
View attachment 2347329View attachment 2347330
.
Iko na airbags 6 yani hata ukila mzinga chances za kutoka salama ni kubwa, cabin stotage zipo za kutosha kwa ajili ya kuhifadhia vitu kama simu, pochi, mawani..
.
Bila kusahau wameipa cupholders nne yani kama Bibie amesahau kufunga kifursana hakiwezi kumwagika hata ukipiga shimo..
.
Milangoni kuna panel storage nzuri tu same to chini ya dashboard na pale kati ya seat za mbele, Boot ipo ya kutosha ni nipende kusema katika gari ndogo zenye boot kubwa na hii ni mojawapo..
.
Boot lake ni [429 Litres] shangazi kaja kubwa 2 zinakaa, + ina option ya kulaza seats ili kupata nafasi kubwa zaidi na ukilaza seats kinakua kama ki mini van wataalamu wa cuba wazee wa mizigo na wafanyabiashara watakua wanaelewa hapa..
.
View attachment 2347331View attachment 2347332
.
Kwa nje wameipa taa za LED zikiwa na flat rear Cyrstal LED tail lights na shape ya body iko more angular bila kusahau alloy rims na foglights, bumbers, grille, bonnet na fenders wamezi design ki unique na kitofauti sana, Yani kama unataka ki hatchback kidogo cha tofauti hii gari ni option nzuri sana, scroll picha utaona..
.
Gari ina grades zikitofautishwa na features, kuna Subaru Trezia i hii ni base model ikiwa na 1.3L au 1.5L engine, 2WD/4WD na steel rims, Kuna Subaru Trezia iL ikiwa equipped na 1.3L au 1.5L, 2WD/4WD, alloy rims na fog lights..
.
Mwisho ni Subaru Trezia i Type Euro ambayo ni Sport model ikiwa na 1.5L engine 2WD, alloy rims, fog lights na paddle shift [vya kubadilishia gear manually kwa steering]..
.
View attachment 2347334View attachment 2347335
.
Engine ziko option 2 kuna 1.3L 1NR-FKE/FE na 1.5L 1NZ-FE zikiwa linked na CVT transmission na zikiwa 2WD na 4WD kwa engine kubwa ya 1.5L..
.
Mafuta gari inatumia vizuri sana yani kwa 1.3L inakupa wasitani wa 17-21Km/L wakati 1.5L inaenda wasitani wa 15.6Km.L na full tank ni 42 Litres na acceleration yake ni wasitani wa 11-13 sec kutoka 0-100Km/h of which ni nzuri kabisa..
.
Tena sababu ground clearance ni ndogo [inches 5.7] so hata ikiwa speed barabarani iko vizuri unapata utulivu flani sio kama Vitz..
.
View attachment 2347336View attachment 2347337
.
Vitz ikiwa speed inageuka kitenesi unaweza hisi umepata kifaduro kumbe gari inadunda barabarani, sema usije kanyaga sana kwenye kona kali kinaweza kukutoa barabarani ikawa balaa..
.
raia wakamshukuru Mungu kwa maisha yako hapa duniani wakati bado unahitajika, halafu kama unatumia njia mbaya pia hakifai kiko chini labda ukanyanyue kidogo ingawa utagusa stability yake..
.
Kwa watu wa safari na kubeba mizigo 1.5L ni engine nzuri sana, Hii 1.3L ikila mzigo Sana inakua kama underpowered na ina struggle ku accelerate so inakua safi ikitumika kwa matumizi light kama trip towns..
.
Kama unalala Chalinze supu Segera lunch Himo dinner kwa mromboo chukua engine kubwa Mzee ya 1.5L utaenjoy sana hasa kwa safari ndefu na kubeba mizigo..
.
View attachment 2347338View attachment 2347339
.
Maintenance iko poa, spare parts zinapatikana as hii gari imeshare platform na Vitz so wanashare parts nyingi kasoro body parts, Engine parts na service parts zipo za kumwaga tu na bei ni kamserereko, Body parts ni issue so endesha vizuri usije pasua taa na bumpers..
.
Unaweza chana bumber au ukavunja taa ukaenda kuuliza dukani wakakupa bei ukahisi muuzaji amesikia bumber la LC V8 kumbe ni Subaru Trezia so kuwa makini Mzee maana haya magari ni mazuri ila yakila mzinga kuyatengeneza kama huna comprehensive huwa inauma zaidi ya tozo vile..
.
Engine zake ni nzuri na ni moja ya reliable engine za Toyota [engine iko kwa Vitz pia], kikubwa sababu juu ziko wazi haishauriwa kuiosha kwa pressure washer na maji sababu umeme ni mwingi na maji yanaweza penye sehemu sio ikaleta shida..
.
View attachment 2347340View attachment 2347341
.
Tofauti na hapo ukikipa service Vizuri ukaweka vilainishi sitahiki kwa engine utaenjoy gari utakula nayo maisha na wewe na fundi mtakua mnakutana wakati wa kumwaga oil tu..
.
Gearbox zake ni za CVT so ziko sensitive na vilainishi ukitumia vilainishi ambavyo sivyo utaua hiyo gear box [transmission failure]..
.
Hii gari kuitoa Japan mpaka nyumbani kwako inagharimu 14-16M++, kama utahitaji gari kama hii au nyingine kuagiza, kununua showroom au mkononi karibu..
.
Tuko na network ya trusted dealers kwa Japan,UK,Singapore etc dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa bei safi..
.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi salama na unaojali muda wako, simply tupigie 0714547598 au tu WhatsApp au njoo ofisini Posta Phoenix House mkabala na Mkapa tower tutaku assist..
.
View attachment 2347344View attachment 2347345
.
Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo..
.
View attachment 2347348View attachment 2347349View attachment 2347352
.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare na wengine wapate haya madini, lengo ni kukupa taarifa sahihi ili ufanya maamuzi sahihi [Informed decision] unapohitaji gari flani..
.
Asante
0714547598
Samatime Car Dealers Company Limited
Nikajua @kimomwa
 
Watu wana kamba balaa, story za gari huenda zipo sawa, ila hyo ya wadada kubishana ni uongo, Subaru Justy imetoka 2019 na Ractis new model 2010 sasa huyo mdada aliipenda Justy hata hajui itatoka lini
 
Back
Top Bottom