Kuna jamaa amejinadi anauza mishkaki ya paka na kuiuza Tsh 50 ila yeye na familia yake hawatumii. Kwa siku anachinja hadi paka wanne!!! Je kwa kufanya hivyo amevunja sheria yoyote? Nisaidieni...
*Mtoto alikua akibishana na baba yake akisema 1+1=11, baba akamwangalia kisha akasema vizuri sana,akamtuma kununua mayai mawili,mtoto akaenda kununua,aliporudi akamwambia nipe moja lingne mpe...
Mtu mmoja alinunua nyama 1kg ili achomewe. Ilipoiva akasema ipimwe tena na ikawa 3/4. Akauliza 1/4 imeenda wapi, akajibiwa imeenda na moto.
Akauliza, kwa hivyo nikipima 1/4 ikichomwa sitapata...
Wote ni wazima niende moja kwa moja kwenye mada.
Hutokea pale mama anapokuwa na mwanae katika shughuli fulani sherehe, ofisini, safarini n.k.
Mtoto hutokea kumchangamkia mtu ambae hata mama...
That awkward moment when the Serena Hotel waitress tells you that a bottle of coke is 20k and you start explaining and describing Coke.
"Madam, I mean Coca Cola.... not the alcoholic one, the...
Imeandikwa katika vitabu vyote vitakatifu ya kuwa "Ole wake augeuzaye usiku kuwa mchana" huyu hatauona ufalme wa mbingu. Kwa siku za Karibuni huyu Kijana mtakatifu Dr Ivuga amekuwa akikikesha na...
Huduma ya kuzimikia/kudondokea kinadada humu JF imesitishwa kwa muda hadi hapo mtakapotangaziwa tena baada ya jamaa wawili kuwazimikia njemba ambao wao walidhani ni kinadada,kinakaka wanashauriwa...
1. Wakioa wanabaki na jina lao la ukoo.
2. Matayarisho ya arusi hayawahusu kabisaaaaaa!
3. Wanaweza kula wanachotaka bila ya kuogopa kunenepa.
4. Hawana wasiwasi wakati wa tendo la ndoa kwa vile...
Je, ulishawahi kuwatishia washkaji kuwa utawaandika hapa JF?!
Mi kuna jamaa very close, ambao tumejuana hapa JF and some outside JF enclosures... basi every now and then tukiwa tunapiga...
Leo mama yangu mzazi kaniletea zawadi nzuri na ya thamani, nikaipokea na kufurahi, nikamwambia asante.
Nikaipeleka ndani.
Nilpo rudi nikakuta sura yake kaikunja na anasema sijaipenda.
Hivi...
UTARATIBU mpya wa kufungua milango kwa kutumia teknolojia ya kadi maalumu katika majengo ya Bunge mjini hapa ulioanzishwa ili kuimarisha usalama umewababaisha wabunge wengi na waandishi wa...
Hivi wana JF naomba mniweke wazi kwa awle wanaofahamu uhalisia wa hili jina SHAROBARO!! manake sasa naona SHAROBARO anapewa sifa mpaka naanza kupata wasiwasi kama kweli hizo ni sifa zake...
Namaste! Ni matumaini yangu jumapili inaendelea vizuri kwa wewe uliopo nyumbani na familia,wewe unaotumia vibaya internet ya ofisini kwa kuingia Jf,wewe ambae bundle yako ndo inaishia na hata wewe...
wasalaam wana jf...! miongoni mwa vitu vinavyonivutia hapa jf ni ´avators´! nimekuwa nikitumia muda mrefu kuangalia ávator´ ya AFRODENZI...kwa kweli anaonekana kuwa mrembo haswa, ana ´lips´ nzuri...
WanaJF nipeni majibu wapendwa. Siku zote wanaume ni wabishi kwa makonda.lakini juzi nilipanda gari fulani konda alikuwa msichana.Basi wanaume walikuwa watiifu kama vile wanapokea sakramenti kwa...
Wana jukwaa habari za saa hizi. Bila kupoteza muda jana mishale ya saa tisa alasiri nilikuwa maeneo ya Uchumi supermarket pale nyerere road kaja Jamaa simju anijui "namnukuu" Kaka naomba nikupe...
naughty by nature-opp,feel me flow etc
kriss kross-jump jump
mc hammer-have you seen her,cant touch this etc
house of pain-jump around
digital underground-i get around
coolio gangsta's paradise...