Mishkaki ya paka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishkaki ya paka...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by jacobae, Mar 16, 2011.

 1. jacobae

  jacobae Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna jamaa amejinadi anauza mishkaki ya paka na kuiuza Tsh 50 ila yeye na familia yake hawatumii. Kwa siku anachinja hadi paka wanne!!! Je kwa kufanya hivyo amevunja sheria yoyote? Nisaidieni wangwana.
   
Loading...