JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi nana hii "Mkuu" inapendeza sana kuitumia kwa wanaume huku lakini kuitumia kwa wanawake inakua haina maana kabisa nafikiri kuanzi leo wanajamvi wanawake tuwaite "MADAME" Au nyie mnaonaje...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Jamani kuna dawa nimeigundua inatibu nguvu za kiume na kukuza uume. Hivyo nahitaji tangazo ambalo litatumwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii liwe la kuvutia Shindano hili litaendeshwa mpaka...
3 Reactions
7 Replies
909 Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Nimekuwa kwenye mahusiano na wasichana wa aina nyingi yaan wazur wa sura na wabaya wa sura. Lakin nilichogundua ni kwamba...
7 Reactions
64 Replies
8K Views
Wakuu naomba kujua kama mwanajukwaa mwenzetu kama yupo mana kimya kingi isijekuwa nissan nyeupe ishamfuatilia kimya kimya. Nawasilisha.
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa mwaka jana wadau walianzisha thread ya kutoa tuzo.na tuliwapata wana jf bora kwa kila category..kuna ongezeko la wana jf wengi tu wanaofanya vizuri maingizo mapya...
2 Reactions
7 Replies
843 Views
Igwee jukwaa peñdwa la chit-chat. Kila kidume chaguwa type/size ila usimkwaze mwenzio.UZii huu ni kwa wanamume tu lakini kuonyesha hatujawatenda wanawake mnaruhusiwa kusifia na kuponda na hata...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Hivi Bongo Hakuna kampuni za x au wacheza x, maana Maisha yanakaba had penat. Nigeria wanayo leaknaija.com, Na baadhi ya nchi za Africa zipo KAMPUNI za x. Nashindwa kuzi-link kutokana na sheria...
1 Reactions
9 Replies
25K Views
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia. Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na...
7 Reactions
278 Replies
74K Views
Smooth roads never make good drivers. Calm seas never make good sailors. Clear skies never make good pilots and life without problems never make a strong and good person. When you have tough...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
MTUNZI :- HARUNA MAPUNDA Aisha alitoka bafuni huku akijitikisa kwa baridi. Akifuta nywele zake kwa taulo. Huku akitikisa makalio kuelekea chumbani. Alifika ndani na kujitupa kitandani. Alijivuta...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo-ya-Pesa *Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
huu uzi niliu-upload Jamii Intelligence, lakini nikapata kimeseji ambacho hata sikukielewa. Anyway, swali langu ni dogo tu. nataka kujua. kwa nini katika sentensi ama matamshi mengi, herufi 'e'...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisoma thread nyingi za watu pamoja na zakwangu mpaka nafikia mahali nacheka peke yangu Pengine najiuliza nilikuwa nawazanini!!kuandika thread kama hii!!Uanakuta mtu kaweka thread...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
I was abroad guys so very soon,we will resume our chitchat interviews Be blessed!
5 Reactions
179 Replies
7K Views
Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana...
6 Reactions
85 Replies
4K Views
Jirani aliibiwa simu miezi miwili nyuma nikiwa kazini, akasema wote waliokuwepo muda huo waende kwa mganga wa kienyeji mwenye Tv asilia ili wamuone mwizi wa simu. Huko walinyweshwa maji ya dawa...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Nimesijui subscribe kwenye chit -chat mara nyingi bila kujua nasomba msaada nijitoe maanas inanitesa.
1 Reactions
6 Replies
908 Views
Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Ndugu WanaCC. Kwanza kabisa habari zenu...!! Cc wanaJf wote, Itifaki imezingatiwa. Pili, kwa kuwa mimi napenda sana kujifunza kupitia watu, sasa naomba niulize swali lolote juu yangu nami...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom