Kwa Nini Wanaume (wengi) hawana "Stress" na ni wenye furaha!

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
1. Wakioa wanabaki na jina lao la ukoo.
2. Matayarisho ya arusi hayawahusu kabisaaaaaa!
3. Wanaweza kula wanachotaka bila ya kuogopa kunenepa.
4. Hawana wasiwasi wakati wa tendo la ndoa kwa vile hawawezi kupata ujauzito
5. Wanaweza “kucimba dawa” popote (ugomvi wao uko kwa manispaa tu).

6. Hawahitaji kusindikizwa vyooni na hawaingi wawili wawili choo kimoja.
7. Mikunjano ya ngozi usoni si tatizo bali baraka kwani wengine huwaongezea “personality”.
8. Watu wanapozungumza nao hawawaangalii maziwa na makalio.
9. Sura, maziwa na makalio si sifa ya ziada katika usaili wa kazi
10. Mazungumzo yao ya simu za kikazi hayazidi sekunde 30.
11. “Holiday” ya siku 5 wanahitaji (ki)begi (ki)moja tu
12. Wanaweza kutumia hata perfume ya machinga na nguo zao za ndani fungu 1,000/=
13. Akienda shughulini na nguo yako (mwanamume) itasemwa kuwa “yule ni rafiki yake”,
14. Hawahitaji kutumia gundi kujinyoa nywele za kokote, na kwa wanaotaka wananyoa ndevu tu
15. Wanaweza kula “ndizi”/“ice-cream” hadharani bila ya kushutumiwa wasivyokuwa ndivyo.
16. Ikiwa mmoja atasahau kumwalika rafiki yake shughuli, hilo si kosa na linaweza kusuluhishwa kwa bia moja na urafiki wao ukabaki palepale.
17. Jeans 3, mashati 3 na viatu pea 3 ni zaidi ya mahitaji yao mwaka mzima.
18. “Shati/nguo” kukunjana si “isssue” ya kumfanya mwanamume asiende safari yake.
19. Hawahitaji kipodozi cha aina yoyote.
20. Hawapotezi zaidi ya dakika 5 kukunua zawadi.

 
we are the ORIGINAL yaani ndo default sababu Mungu alituumba kwanza halafu akasema nimtafutie msaidizi wake, so you can imagine hapo!
 
21-Kuwa na wanawake wengi ni sifa kwa mwanaume lkn mwanamke aakiwa na wanaume wengi ni U.M.A.L.A.Y.A
 
Stress wanaume tunapata unapofukuzwa kazi au kufilisika...
Hapo kazi ipo...
 
hatuna stress coz huwa hatujali mambo mengi the best ni taaluma (qualification), investiment/jo. Good car/house n family kwisha. Hata nikivaa visepe hakuna wa kuniambia kitu
 
hatuna stress coz huwa hatujali mambo mengi the best ni taaluma (qualification), investiment/jo. Good car/house n family kwisha. Hata nikivaa visepe hakuna wa kuniambia kitu

Mkuu wanaume wana stress za kumwaga tuu, sema hawaji-express kama wanawake. We like keeping the stress to ourself.
 
tunaweza kufanya ngono muda wowote kwa sababu hatuendi hedhi tofauti na wenzetu wanawake, ths means tuna confidence muda wote, kaz kubwa tuliyo nayo ni kutongoza tu
 
Stress wanaume tunapata unapofukuzwa kazi au kufilisika...
Hapo kazi ipo...

Na kweli Boss, tunapotimuliwa kazini hapo tena mapresha kibao, lakini mwanamume kama mwanamume ananyanyuka, anajipangusa vumbi na kuanza kusaka "waka" nyengine.
 
Maisha hayaishi siku unapoachwa bado unapendwa (uwe m'me uwe m'mke). Unafikiri italipa kukaa maisha yako yote kumlilia alokuwacha solemba wakati yeye yake yanamwendea?, na zaidi kakuwacha ama kwa tabia zako chafu au kapata buzi jengine. "Nyanyuka, futa mavumbi, dume chana nywele, mdada jirembe kidogo, anza kutongoza/kutafuta "the next to be" badala ya maisha yako yote unayamaliza kumlilia alokuwacha.
 
Back
Top Bottom