Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod...
*Ukiwa Na Demmu Geto Mara Paap Akavua Chupi Na Jeans Kwa Pamoja Ndgu Yang Tumia Condom*[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Waziri wa afya..[emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Salam kweni wakuu,
Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae.
Hadi sasa majina yanayonijia ni haya;
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda...
WanaJF mrevedi?
Msaada tafadhali! kuna issue inanitatiza kidogo hapa kwenye kakibarua kangu (mama ntilie).
Kuna dada alipata mafunzo yake, akafauli vizuri sana, lakini bahati mbaya kabla vyeti...
Kijana Nguvu Ya Mabadiliko
Ukiwa kijana unatakiwa ubebe jukumu la kuikomboa jamii yako kwa kutumia Nguvu, Uelewa na Elimu uliyoipata. Haina maana kuitwa msomi unayekula na kulala vizuri mijini...
?45% wanawake, wasichana wamepata kazi kwa ngono?
Wednesday, 16 March 2011 20:36
Nora Damian
ZAIDI ya asilimia 45 ya wanawake na wasichana walioajiriwa kwenye ofisi mbalimbali nchini...
wengine wanatoa flowers, wengine wanatoa out, wengine wanaleta zawadi mbalimbali na lots of sms and fun messages
Lakini wengi tukishaingia kwenye mapenzi, tunaishia kuishi kama walimu au...
Wakuu habari za mda huu,
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu.
Kiukweli nimempenda huyu binti Neybright kiukweli nina nia ya dhati kabisa nimuoe. Ney popote pale ulipo naomba ujitokeze...
Nimefanya muamala wa ku deposit money Mbet kwa bahati mbaya haikufika na nikaambiwa hivi "Dear customer,your transaction is currently being processed.Please contact customer care for assistance...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Ilikuwa ni ndan ya jiji la London kwa huko London ilikuwa usiku lakini kwa huku Masharik ya Afrika ilikuwa ni mchana. Mdogo mdogo nilikuwa natembea kwa miguu...
Poleni na mihangaiko na wanajukwaa, baada ya purukushani nyingi, makinikia ,mara Arusha mara Nairobi, karibu upime uwezo wako wakufikiri kama bado haujaathirika na haya yote!
The test is simple...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.