Mnasema maumivi ya kuachwa na mpenzi, kufiwa na umpendae, ya kukatwa cjui wapi pale bila ganzi, wanawake kutobolewa bikra nk haki mnakosea.
Hapa nilipo kitanda kwangu ndio adui wa kwanza tena...
Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii."
Hata hapa jamiiforums...
Leo nimetimiza miaka 20 tangu tukio lilinishushia heshima linitokee hadi nikahama Kijiji.
Ilikuwa July 25, mwaka 2006 ambapo nilikumbwa na mkasa ambao sitoweza kuusahau.
Mara baada ya kumaliza...
Hata kama ni pesa. Hii ni zaidi ya kujidhalilisha
https://vm.tiktok.com/ZSXgdE7Jw/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Huku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.
Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.
Wenye akili ndogo watapambana...
Watu wengi hufikiri ndege huimba kwa ajili ya kuburudisha tu, lakini ukweli ni kwamba nyuma ya kila mlio kuna ujumbe muhimu.
Ndege wa kiume, kama njiwa na spicies nyingine nyingi, hutunga...
Hivi unajuaje humu unapigwa ban bila sababu za msingi,? Mods mnaonaje mkishea sababu ya mdau kupigwa ban jukwaani?🤔
Mnapiga ban nyepesi mno bila kutoa sababu na maelezo yakinifu 🤔
Nimekuwa nikiona mara kwa mara nyuzi zinazoulizia wanachama ambao wamepotea jukwaani kwa muda mrefu, wengine miaka mitano, minane au zaidi. Sasa naelewa kwa nini jambo hili hutokea.Najua ukimya...
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yaani kana kwamba hajaenda shule.
Profile picha zake ndo...
Kuna jamaa aliwahi niambia kama mimi angekua yeye, angetembea na wadada wengi sana, nikamuangalia nikajua ndio uhalisia, wanaume wengi hawana mvuto kwa wadada, Asilimia kubwa ya wanaume...
Habari za muda huu wana jamiiforums,
Okay tuanze, mara nyingi tunafikiri "raha" inatokana na vitu vikubwa tu kama pesa au mapenzi. Lakini kisayansi, ubongo wetu unazalisha kemikali za furaha...
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi...
Moja kwa zote kwenye mada!! Kifo kisikie tu wakuu leo baada ya mvua na radi kubwa na nyingi niko zangu mtaan nimejibanza sehem nikisubili hali ipoe niende na mishe zangu
Sasa kilichofatia hapo ni...
SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi?
KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia
SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena...