Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,852
😂😂😂😂 ni Doctor, anakuwepo kwenye kipindi sijui ni E fm vile?Nani huyu tena
🤣🤣Duuh Masikitiko
Na mandevu yake kama mabrash ya chooni🚮Huyu doctor azikwe tu kwa manufaa ya umma
😂😂😂😂😂Hiii kiazi ina matatizo ya akili
🤣🤣🤣Hajasema walevi wazikwe hai, amesema hao walevi wakiugua ndio wazikwe hai kitu ambacho ni sahihi...
😂😂😂Huyu doctor azikwe tu kwa manufaa ya umma
😂😂😂Kwahiyo unataka nijibu 'NAKUNYWA' ufate ushauri wa kunipeleka futi sita nikiwa hai 😭😭😭
😂😂😂
nitaipeleka video hii kilabuni kwetu nichukue mawazo ya wanywaji wenzangu😂😂😂
Hapana kaka, nataka tujadili hatua za kuchukua juu ya huyu Doctor.
Vizuri kaka, mimi mwenyewe huwa nang'ata visungula ndiyo maana nikakuita, hivi bwana dosho12 yupo?nitaipeleka video hii kilabuni kwetu nichukue mawazo ya wanywaji wenzangu