JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu. Wanangu tatizo litakuwa nini hasa ??
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Kupenda, kuponda, hata kuchukia ni haki za mtu. Je ni members wapi unawakened au kuwaponda hapa jf na kwanini?
8 Reactions
92 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kuuliza swali lipo hapo juu. Walimu mmeshaanza likizo au bado mpo shule mnafundisha? Naomba kujibiwa na Walimu wote waliopo humu JF. Km mpo likizo semeni kuna jambo jingine nataka...
1 Reactions
0 Replies
188 Views
Wakuu habari...naomba msaada nielekezeni jinsi ya ku Post thread kwa picha au video pia jinsi ya ku save picha kwa account yangu Naomba KUELEKEZWA si kwa ubaya 🙏🏾
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Habari mabibi na mabwana, bila shaka ni wazima, na mida hii kila mmoja wetu yupo kwenye mihangaiko yake ya kujitafutia mkate wa kila siku. Nisiwachoshe sana twendeni kwenye dhumuni la habari hii...
10 Reactions
50 Replies
9K Views
Wakuu mimi ni mchunguzi sana. Nimefanya utafiti na kumfatilia kwenye mwandiko wake na vile anavyocomment kwenye post za wanajf mbalimbali hapa jukwaani na nikapata uthibitisho pasi na shaka kwamba...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
1 Reactions
5 Replies
310 Views
Nouma sana kataa baiko🤣🤣🤣🤣
0 Reactions
6 Replies
428 Views
Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe. Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote...
17 Reactions
127 Replies
4K Views
Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza...
5 Reactions
9 Replies
721 Views
Maisha si magumu kila saa tupumzike kidogo tucheke na kufurahi. Kama unayo video ya kuchekesha, tupia hapa tuangalie! Memes, vituko, au chochote kitakachotufanya tusahau stress kidogo. Wadau...
0 Reactions
14 Replies
971 Views
Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa...
3 Reactions
5 Replies
435 Views
Salaam Kichwa cha mada cha husika Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika na kuwa bora zaidi ya ulivyo leo
13 Reactions
85 Replies
3K Views
Hawa watu Sasa wamefikia levo nyingine😳
4 Reactions
15 Replies
963 Views
Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata...
1 Reactions
4 Replies
328 Views
Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Ujana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa.. Kuna mambo...
19 Reactions
122 Replies
3K Views
Ukiskia mtu anakwambia ualimu ni shughuli pevu, shughuli yenyewe huanzia hapa. Mwanangu ndo kashakalilishwa hivyo. Ukimuuliza Mtaka cha Uvunguni, anakwambia matrako hulia mbwata Na hili nalo...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Tofauti na kupata elimu pamoja na msawazisho wa mawazo je kuna faida yoyote ya kwenda vacation? Kesho ni safari ya kutoka Tanzania kwenda Vietnam Hanoi..just for leisure. Binti wa zamani
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.). Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri. Sijawahi kufika Ruvuma...
13 Reactions
243 Replies
5K Views
Back
Top Bottom