Ni lini mara ya mwisho hali hii ilikutokea na nini kilisababisha?
Kwangu:
Mtu aliniongelea karibu sana sikioni.
Nilisikiliza cover ya wimbo wa "Baby can I hold you" wa Tracy Chapman.
Orgasm...
Katika kutambua vipaji vyao, nitakuwa nashindanisha stori (script) ya dakika 60 kwa wale wote wenye vipaji.
Na atakayekuwa mshindi kila mwezi, atazawadiwa shilingi 200,000/= .Atakayeshika nafasi...
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group...
Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10
Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi...
Mtu anakutumia msg naomba pesa kiasi flani. Unamwambia subiri nina mgonjwa nimemleta Hospital. Anajibu
"Haya"
Kesho yake anakutumia
"mbona kimya?"
Unamwambia jana ulirudi late sana yule...
kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa...
Nilichojifunza 2025
Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu!
2026 Resolutions
Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili...
UZI WA VAYOLENSI; Njoo utoe makavu kama unayo!
Kama wewe ni mwanamke usiyejishughulisha, maisha yako yanategemea kudanga au kuomba omba wanaume hela - jua unatumia kikojoleo chako kama shughuli...
Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila...
Kwa nini wasafiri wa ndege huwa hawasali au kufanya dua/maombi ya kuombea safari kwa pamoja kama wasafiri wa bus za abiria?
Bus zote za abiria ambazo nimesafiri nazo lazima wafanye maombi hata...