JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kufuatia ushindi wa TAIFA STARS dhidi ya UGANDA kwenye hii michuano ya kufuzu kombe la mataifa afrika,kumezua tafrani mikoani baada ya mkuu wa mkoa wa DAR kuahidi kuwa endapo TANZANIA tutaifunga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi hizo milion kumi wanapewa timu nzima ya taifa star au ni wale waliocheza mechi tu na kama ata ni waliocheza mpira nahis wanaeza fika 13 ukifanya cros matiplication unapata milion 130 hivi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi nafikiri siku zote katika maisha yetu tuwe watu ambao tutaboresha Mambo yaliyopo au kugundua Mambo mapya ambayo dunia yote itayakubali Watu wakubwa waliofanikiwa Kama wa kina Stephen jobs CEO...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Hapa nilipo naona bei ni ile ile japo njemba zinapombeka tuu! Weita niongezee African fruit nishangilie zaidi maana bia mmegomea agizo!! Ila kwa ahadi hizi na hamasa hizi soon tutachukua kombe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kati ya watu kumi ni mmoja anayefikiri Watano wanadhani wanafikiri ila hawafikirii Wengine wanadhani wanatazama,lakini hawatazami,wanasubiri mambo yatokee tu lakini hayatokei! Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati vijana milioni mbili wanahitimu masomo ya uhandisi kwa mwaka nchini China, Afrika vijana milioni 10 wanakuwa wachungaji kila mwaka- Julius Malema
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna maswali mengine nikijiuliza sipatagi jibu sijui kwamba ni kiswahili kigumu sana [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kama mnavyojua kuna baadhi ya wazee wetu (baba) walikuwa na majina ya utani kutokana tu na kile walichokuwa wanapendelea kukifanya kitaani, Je wewe mzee wako alikuwa na jina gani la utani? Mi...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu Mimi ni kijana ambaye nikiwa natembea barabara huwa napenda Sana kuji reconnect na vitu nature mfano huu mwezi.ndio maana nimekuwa na Spirit kubwa ya kushuhudia mabadiliko napenda kuona wana...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Alipita mkapa nilikuwa sijanenepa,akaja kikwete na yeye katika enzi yake sikuwahi kunenepa,lakini toka Magufuli ashike nchi naona nazidi tu kunenepa na ngozi inazidi kunawiri.ila sio ule unene wa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari...
4 Reactions
263 Replies
15K Views
Kuwa na mpenzi mmoja ni hatari sana je akifa?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
meddy kagere akipokea zawadi ya mchezaji bora wa mwezi wa ligi kuu bara anayekabidhi zawadi ni mtangazaji maarufu wa clouds Tv kipindi cha clouds 360 bibie Baby Kabaye (SISTER DRED) Behaviourist...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
chezea team kuoshwa enzi hizoooo!!!! yani unapakwa soap mwili mzima then unasuguliwa mpaka basi! kweli mambo yanabadilika,, siku hizi hivi vitu vinapotea mdogo mdogo!! natamani kuwa kama mtoto...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tuliozaliwa kati miaka 1970 mpaka 1990 tuna bahati. Naweza sema ndio kizazi the best. Kuanzia malezi tumetoka tumeiva kimalezi. Mpaka sasa wazaliwa wa miaka hiyo wengi wao mpaka sasa wanakomaa na...
2 Reactions
1 Replies
687 Views
Nimeshajisajili na huduma hii ya kuangalia salary slip kupitia Computer, na nikiangalia kupitia computer huduma inapatika lakini nikitumia simu ya mkononi, sehemu zote nazotakiwa kujaza zinakubali...
1 Reactions
1 Replies
996 Views
Nimepoteza kitambulisho cha mpiga kura ila namba yake ninayo
0 Reactions
5 Replies
981 Views
Nimeleta huku ili tusitoe majibu kisiasa siasa. CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Guest 30,000 Vinywaji na misosi 30,000 Usafiri 10,000 Kifuta jasho 30,000 Haraka haraka 100,000! Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
41 Reactions
183 Replies
16K Views
Back
Top Bottom