Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba...
Mambo vipi wana Jf
Nipo hapa Dodoma "CHAKO NI CHAKO"
Kama kuna member ambae yupo karibu na hii Bar au popote pale hapa Dodoma town.
Naomba uje tunywe,tule na tufurahie maisha kwa hisani yangu...
Wadau habari zenu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa...
life ni gumu aiseee mpaka naacheka mwenyewe yaan, moja haikai mbili haikai nikiangalia sim yangu niingie upande wa contact naona hamna mwenye msaada kwangu naishia tu kufuta majina ivi wandugu...
Tupe experience yako, Jambo gani la hovyo ulishawahi kufanya sababu ya mapenzi!
Mimi nilishawahi kutoka saa sita usiku kwenda kumkiss babe, tena njia inapita makaburini, sijui ujasiri nilikua...
Kama nilivyoelezea mwite mdada yeyote unaemtaka humu Jf akiitika tu mfanooo Shunie akasema yes mr au yes mkuu basi Zama PM ukamalizane nae.
Yaani huo mwitikio ni kama Ruksa ya kuzama Pm yake...
Wakuu unaweza ukafikiri Kama masaa hayaendi kiukawaida wake kwa sababu naona Leo siku imekuwa ndefu sana.toka asubuhi niliikatia tamaa ndo maana natamani ifike TU usiku nilale
Nakazia:hela...
1. Serengeti lite 750
2.kilimanjaro 1000
3.tusker 1000
4.safari 1000
5.balim 1000
6.savanna1750
7.jibapa 5000
6.kasichana 2000
7.Valuu kubwa 5000
8.Plisner ice 1750
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanao nikumbusha matukio hangu ya zamani kwenye hadhara siwapendi.
Watu wanaotaka sifa waonapo mgeni machoni mwao na kuanza kujikombakomba kudhalilisha wenzake ili mradi aonekane na yeye...
Katika wimbo wa Lucky Dube "God Bless The Women" yaani "Mungu awabariki Wanawake"
anasema:
Katikati ya usiku wa manane, nilisikia sauti nyororo ya mama ikiomba. Ikiomba kwa uchungu. Akiomba kwa...
Njia nyepesi ya kuiondoa CCM madarakani ni kuwashawishi watanzania kuanza kuvuta bangi kwa wingi😀😀😀wavuta bangi wakifikia robo ya wanywa pombe hakika CCM kwaheri😀😀😀Chadema wekezeni kwenye bangi...
Wana mwenye group kali la vichekesho naomba aniadd au anitumie link nijiunge au kama hatojali anitumie no za maadmin niwacheki waniunge 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Cheka uongeze siku zakuishi
Habar zenu wanajamii leo nimeona nilete hili jambo kwenu nyinyi kwasababu limekua likijitokeza sana kwenye utaftaji wa rizki katika shughli zetu,Kwanin sisi kama watanzania hatuwi pamoja katika...
Nimekuwa nikiwaona vijana waliohitimu 2010's wakisumbuka na changamoto mbalimbali za ajira but ambao wako very frustrated kuliko kipindi chochote toka nchi hii ipate uhuru ni hawa waliohitimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.