Jana bwana wadau wa JF Dar Wing tulipata ugeni kutoka Arusha wing, sasa ikabidi ni coordinate na baadhi ya wadau wenzangu kina Madam B, amu, Kipaji Halisi, Kaizer Paloma, Bujibuji, Asprin, Vin...
Wadau Wasalaam
Nakumbuka kipindi nipo form two,nilikua napiga sana nyeto aka member wa chaputa
Siku moja nimebaki pekee yangu dormitory,nikapiga zangu nyeto huku nikivuta hisia za mapenzi kwa...
Wataalam wa nutrition wameshauri tuwe na mazoea ya kula chakula chenye virutubisho vyote vinavyohitajika ila kwa kiasi kidogo
Spiritual nakazia Huo ushauri,HaKuna sababu ya kula chakula kingi...
Mtoto na babake walienda msibani,baada ya msiba kuisha viatu vya mtoto vikawa vimeibiwa.Baada ya kulia sana yule mtoto,baba akamtuliza mwanae kwa kumwambia,usilie we mwachie mungu.Mtoto...
Mungu alimuumbia vitu vizuri mwanamke ila sasa wanachallenge
Kucha bandia
Nywele bandia
Nyusi bandia
Matako bandia
Maziwa bandia
List ni kubwa ....
Je wewe mwanaume ninan hadi huweze...
umewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela??
waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa...
yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila...
huku mtaani imekua kama vijembe kina mama wana lalamika hakuna wanaume waoaji,nasi pia tuma lalamika hakuna wanawake wakuoa ivi hichi kizazi kitaishia wapi ,single parents ina chukua nafasi ya...
Aisee Kuna watu sijui niseme Ni elimu ndogo au Ni imani tu potofu kukithiri akilini eti mtu anakusimulia visa vya kichawi kwamba Kuna watu Wana uwezo wa kuzuia mvua kunyesha.jamani elimikeni nyie...
Nisiwe mnafiki kabisa yani bado sijaipata hiyo furaha ya taifa star kushinda mechi dhidi ya Uganda jana! Wenzangu kipi kimekufurahisha sana juu ya wao kushinda kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mda huu wakuu?
Ni jumamosi njema na takatifu kwangu kwakua tarehe Kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita nilizaliwa mm hapa .
Sina mengi zaidi napenda kuualika katika tafrija hii...
Ulale pema bk wa TMK mapanga
ulale pema Steve 2 k, fadha nelly langa
ulale pema Albert mangwair,John mjema mapacha, Ni njia Moja tunayoelekea nitafuata
ulale pema remmy ongala kweli kifo hakina...
Tuwasaidie tu hawa wanachitchat na Wana MMU wenzetu kuwaonyesha wanaolandana nao.
Ukiwa member wa MMU technically unaangukia kuwa member wa chitchat..la sivyo jitangaze leo tukuvue uanachama...
Kutokana na Ratiba yangu kubana so Ni lazima nifanye mazoezi hasa hasa ya viungo..
Nakoga vizuri if kuna ratiba ya Kula BUMUNDA basi nalitafuna vizur kabisa..
Kila nikichanganya hizi Ratiba...
Habari&burudani Mapato TzLike Page
March 20 at 7:04 PM ·
Barua kutoka kwa marehemu mama kwa kijana wake siku ya 3 baada ya mazishi yake.
Mwanangu Mpendwa.
Napenda kujua kwa nini nimekufa kama...
Habari za Masiku Wanazuoni wenzangu, Kutokana na Majukumu Mengi Nashindwa kuwa Active Kila Muda Humu.
Kuna Pdf za Vitabu nimezipata ni Nzuri Mno hasa kwa wahandisi wa Ujenzi.. Kwa Mwenye Kufahamu...
Nimepita Bar kadhaa maeneo ya Tandika Mwembeyanga naona bei ya bia ni ile ile iliyozoeleka , sasa naomba mwenye kujua zinapouzwa nusu bei kama viongozi walivyotuaminisha anielekeze .
Kwa sababu leo, bei ya bia ni nusu bei kwa wakaazi wa jiji la Dar es salaam baada ya Taifa Stars kumfunga mwenye bomba la mafuta, basi tunaomba wale tutakaokunywa bia na kushindwa kufika kazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.