ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,048
- 61,370
Hii Ni kwa wale ambao hatuna hofu na kifo tunachojua Ni kwamba Kama Kuna uhai pia Kuna kutokuwepo kwa uhai.kwa hivyo tunafanya mema na tumeshamuona Mungu tayari na bahati nzuri hatujajiha attach na material za ulimwengu huu.tumewaachia utajiri wengine wanaotafuta pain
Tukutane hapa watu wa MUNGU wakazi wa MBINGUNI.
Tukutane hapa watu wa MUNGU wakazi wa MBINGUNI.