R.I.P Rambo: Shujaa wa Watu wote

Abby The Rider

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
444
674
R.I.P RAMBO 😢😢😢
Nenda salama Rambo japo tulihitaji kubaki nawe ila haina jinsi nenda kapumzike. Rambo nitakukumbuka zaidi asubuhi nitakapokuwa nawasha moto ulinisaidia, pia nitakapokwenda kijiweni kusoma magazeti nitakukumbuka kwamaana wewe umechangia mmi kujua kusoma madaftari nilibeba kupitia wew,
Nasema nitakukumbuka zaidi nitakapoenda kwa mama mihogo nawaza atanifungia na nn R.I.P Rambo👏
Rambo unanifanya nikulilie bila kukoma usiku nikirudi mishe zile chipsi, na matunda nitabebea wapi? ili demu wangu afurahi. Na mvua hizi cm yangu nitahifadhia nn?
Rambo hukuwa na tabaka, tajiri na maskini wote ulituthamini.
Nashindwa la kusema nabaki tu nalia ila nitakumisi sana. R I P RAMBO. chaupole utawaliza wengi sana.😭😢
Haya nawew unamkumbuka kwa lipi Rambo?😭😭😭
 
R.I.P RAMBO
Nenda salama Rambo japo tulihitaji kubaki nawe ila haina jinsi nenda kapumzike. Rambo nitakukumbuka zaidi asubuhi nitakapokuwa nawasha moto ulinisaidia, pia nitakapokwenda kijiweni kusoma magazeti nitakukumbuka kwamaana wewe umechangia mmi kujua kusoma madaftari nilibeba kupitia wew,
Nasema nitakukumbuka zaidi nitakapoenda kwa mama mihogo nawaza atanifungia na nn R.I.P Rambo
Rambo unanifanya nikulilie bila kukoma usiku nikirudi mishe zile chipsi, na matunda nitabebea wapi? ili demu wangu afurahi. Na mvua hizi cm yangu nitahifadhia nn?
Rambo hukuwa na tabaka, tajiri na maskini wote ulituthamini.
Nashindwa la kusema nabaki tu nalia ila nitakumisi sana. R I P RAMBO. chaupole utawaliza wengi sana.
Haya nawew unamkumbuka kwa lipi Rambo?
Certified idiot at work
 
Bwege kweli wewe si ungesema mfuko wa plastic
 
Baada ya kusoma heading huzuni na fadhaa zilinikamata, nikivuta hisia ya jitu lenye sura ya kipole na macho ya kurembua..

Kusoma nakuta jitu linalilia plastiki lifungiwe mihogo ma chips
 
Back
Top Bottom