JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi sitasahau siku ambayo matokeo ya form 4 yametoka na kuona nimefaulu kwa ile division kubwa,nikawa nikipita mtaani namsalimia kila mtu. Karibuni
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Oyaaa wanaume wenzangu eeehh. Naomba mnijulishe makubaliano ya kikao cha mwisho kilichofanyika, mimi niliomba ruhusa kwa Mwenyekiti kutokana na kubanwa na majukumu. Mimi huwa nahudhuria vikao...
1 Reactions
4 Replies
726 Views
Naomba msinione mshamba na kunicheka, nipeni uelewa tu, tupieni na vipicha vya bandari yetu
0 Reactions
4 Replies
723 Views
Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha? Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo Nimejaribu kuacha kwa mbinu...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Andika kama mtu Wa chumba cha jirani ninapopanga abaye huwa ananionea wivu!!! Andika hapa Chini tusogeze siku.
5 Reactions
31 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1595419/
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wangapi Hadi leo bado mna tamani kuiangalia ile filamu ya "Best of the best" au "andhaa kanoon" au "JanDushman" au "Hard way" au "No retreat No surrender"
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia Kongo Dast (Lakini nadhani ni Congo Dust). Hii ni kitu gani?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
kama haya maneno nikweli mmmh!!kunawatu watakuwa na team mbinguni
1 Reactions
8 Replies
928 Views
Kuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu...
5 Reactions
214 Replies
14K Views
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa... Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na...
5 Reactions
103 Replies
13K Views
Imebidi nicheke tuu sio kwa kuchanganyikiwa huku. Pole sana mkurugenzi wa Tanesco najua ulikuwa unawaza kama kibarua kitabaki au ndio kimekuponyoka.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
"I pray for single mothers. May you learn and understand that you are not worthless simply because you've been deflowered & left with beautiful seedlings. Those children are gifts, & men such as...
2 Reactions
4 Replies
740 Views
Aliyeko macho karibu tuchat sina usingizi kabisa. Karibuni
2 Reactions
143 Replies
7K Views
unadaiwa kodi ya nyumba, Unadaiwa tala Unadaiwa brunch Unadaiwa tigopesa [emoji23][emoji23]
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Guest user wale wanaoingia jamii forum kwa kuibia bila kuwa na ID huwa wanajiuliza sana huko waliko hivi huyu Zero IQ ni nani? Mbona anazimenya sana mbunye hana kazi za kufanya nini kila uzi...
7 Reactions
122 Replies
7K Views
2 Reactions
4 Replies
785 Views
Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini? Maana Kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi siku hizi wateja wakubwa ni wa kike tu wa kiume wachache sanaa. Cc Zero IQ
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…