JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sio sawa kabisa .
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UJINGA NI NINI? Ujinga ni pale ambapo demu wako anaweka picha ya mchepuko wake kwenye profile halafu status anaandika R.I.P wewe unaanza kumpa pole ukijua ni(REST IN PEACE-PUMZIKA KWA AMANI)...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
iwe member au ndugu zako je Unatamani nani Ukifa Arithi ID Name yako ya hapa Jamii Forum? Cc Zero IQ
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mabachela wenzangu mupooo.. Ebwana hizi kazi zingine bora kuoa tu nakwambia.. Kupika tu wali na samaki jiko limetapakaa vyombo huku na huko.. Sio ajabu siku tatu zinapita vyombo...
0 Reactions
56 Replies
3K Views
Hivi hizi bangili za kimasai wanazosemaga zina uwezo wa kukulinda na hatari au ukapita mahali popote bila kuguswa Kuna ukweli wowote hapo. Nasikia hata madereva wanapendaga sana kuzivaa
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Nina hamu ya kuchat leo..😜
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Je?
*Je, una sura mbaya na ngozi nyeusi?, Je una miguu miembamba?, Je una makalio madogo sana??, Je una shepu mbaya?? Sasa ulitaka awe navyo Nani??? We mshukuru mungu upo hai na viungo vyako vyote...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu anahitaji kuoa mke ambaye ni mwalimu wa sekondari ameniomba ushauri na mimi nimeona nililete jukwaani.Wapo wanaosema ukioa mwalimu utaishi kama mfalme alie peponi mfano halisi...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Asalam alaikum mabibi na mabwana baada ya muda mrefu nimerudi JF kwa wale tuliokuwa tumeconnect nitafurahi kusikia kutoka kwenu. Shukran kwa wote 🙏🏽
1 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Closed
Wanasema eti ukitaka kujua ugumu wa jiwe alilotumia daudi kumuua goliathi Mpe mwanamke wa kichaga unga wa ngano akupikie maandazi... Sio Mimi..ni msemo tu unaotrend uraiani Ila mje wenyewe...
1 Reactions
130 Replies
12K Views
Miezi kadhaa iliyopita wateja wa benki yetu pendwa NMB tulipewa taarifa kuwa kwa sasa hakutokuwa na monthly charges kwa saving accounts but nashangaa mpaka leo mimi nakatwa tena mbaya zaidi ndani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wadada nyie mnatutesa sana yaani hadi kumaliza kula tunda sio rahisi usisikie kauli hizi 1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana 2. Nishukie wapi? 3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka 4. Ubaya...
17 Reactions
82 Replies
10K Views
Ushindwe wewe tu Ila kila aina ya mwanamke unayeweza kumuwaza ukiamua unamtaka hili suala lipo under your control kabisa huwezi kufeli.usiyumbe Wala kuwaza kuhusu mwanamke kwa sababu wewe ndiwe...
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Nakumbuka mi nlikuwa naitwa mwarabu koko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia. Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi...
8 Reactions
102 Replies
8K Views
Habari ndugu Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza mimi ni kijana wa miaka 18 ila tangu nizaliwe sijawahi kumtongoza binti wa lika lolote lile ila juzi nilijaribu kwa binti mmoja jina...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Shepu ya mabonde mabonde Nimeridhia Ntakumiliki usikonde Hataa nkifulia Oooh Bebi unashow za ng'ombe mbuzi wanakimbia Nauosha hu mwogo wa jang'ombe Leta sufuria Baby usijipe stressi We...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ha ha ha
0 Reactions
9 Replies
951 Views
Kama ilivyo ada kuanzia kesho kutakuwa na muendelezo wetu wa Mada ya JF hard talk, Tulishahoji baadhi ya member wengi sana kupitia mada hii kama kina FaizaFoxy @Da'Vinc Malcom Lumumba zitto...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom