Mimi kuna moderator anaitwa Moderator huyu bwana nadhani anaongoza kufuta nyuzi zangu, kuna uzi mmoja niliandika siku nyingi nahisi aliufuta yeye japo nilichokiandika nilikuwa na uhakika nacho na...
Jina alilopewa na wazazi wake ni Nkemi Owoh, alizaliwa mwaka 1958. Alisoma Engineering University na alianza kuigiza akiwa mwanafunzi. Nkemi ana kipaji cha kuchekesha hata script iweje ataweza...
Hakika waungwa hii kitu huwa naipa ratiba ya kila mwezi mara 4 it means per week mara 1...Huwa ninaifurahia sana pindi ninapofanya hii kitu na nimejaribu kuiacha sijaweza katu...
Ila nimeamua...
Habari zenu wakuu!yeyote anaeweza kuwa anafahamu/kuuza NYUMBA wilayani kasulu(kasulu mjini) naomba anifahamishe.nyumba kuanzia vyumba vitatu na iwe na choo cha ndani.Anifahamishe tu eneo aliko na...
Kuna sehemu nimelipata hili wadau nikaona nililete hapa jamvini kwamba eti ukihonga elfu 10 ni sawa na
1.Kuku nyama1
2.Nyama ya ng'ombe 1.5kg
3.Sukari 3kg
4.Mchele super 4kg
5.Maziwa ng'ombe...
Class 1
Ticha: Zumbukuku nikikupa mandazi sita kisha nikachukua mandazi yote sita utabaki na nini?
Zumbukuku: nitabaki na harufu na mafuta ya mandazi mkononi.
Class 2
Ticha: kama MTU tajiri...
Wakuu habari za leo..
Mchana wa leo nilikwenda ofisi ya Manispaa kwa minajili ya kuonana na mtu fulani personally..
Kwa vile majengo yapo mengi na ofisi ni nyingi ilinipa nafasi ya kupita na...
Taja sifa za wanaume mweusi.
--Mbavu nene,
--Mashababu hawachagui kazi
--marijari "Hakuna shoga Mweusi"
--Wanajiamini sana
--sio mchele mchele.
--Ukisusa tu yeye anakula
--Achagui location...
Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga...
Hawa wahenga wanachuana kwa stori za mikasa isiyoisha ya mahusiano yenye maudhui yafuatayo:
1.Wao ni vidume na daima wanagongea wenzao na kujifanya kuomba ushauri wa kuwaonea huruma huku wakijitoa...
Hey fam hope mpo pouwaaaaa........
Heri ya mwaka mpyaaa kwenu nyoteee[emoji1488]
Jaman kwa wale ambao mshawahi date ma black american hivi haya mambo ya shawatokeaa??
Manake mambembe naanza...
Malezi ni kitu kipana sana ambacho kinahusisha uhusiano wa mtoto, wazazi pamoja na mifumo ya kijamii,kiuchumi na hata mifumo ya kisiasa inayowazunguka.
Kijamii:
Malezi ya mtoto yanachangiwa...
Vijana wenzangu usipokula raha katika dunia yetu hii ukishakufa haupati tena nafasi nyingine tena mababu nao wamestuka wanakula maisha raha mustarehe wana enjoy good life...
Kiufupi niliwamis sana kiasi ya kwamba hata kuelezea siwezi, ila naimani tuliokuwa nao mwaka Jana Mungu awabariki sana.. Pia niseme kwa wale wenzetu ambao tulikuwa nao kwa namna moja au nyingi...
INAVYOTOKEA WAKATI WA UNYWAJI WA BIA
Chupa ya bia 🍾 ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na mara nyingi huwa mkimya...
Kwangu mimi kiitikio “chorus” bora zaidi ya muda wote ni chorus aliyofanya Rihanna kwenye ngoma ya TI ya “Live your Life”
Chorus hii ya LIVE YOUR LIFE kwangu ndo bora zaidi na sijawahi ona tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.