Mara yako ya mwisho kula chipsi mayai ilikuwa lini?

Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
9,718
Points
2,000
Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
9,718 2,000
Zero IQ vipi ndugu yangu unakaribia kufunga kiwanda kwa kukosa wateja?
Maana hilo promo lako naona kama unataka kina James nao uwaingize kwenye mchakato wa kuwachakata.
aiseeeee mkuu Chipsi mayai ni kwa Afya kula upate Vitamini A, B and etc
 
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
1,976
Points
2,000
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
1,976 2,000
Binafsi sipendi mayai....bora yakaangwe yakaushwe ntakula kuliko ya kuchemsha ndio siyawezi kabisa.
So chips mimi naweza maliza mwaka sijala. Chipsi kawaida inaweza kuwa kuchukua hata miezi 3 au 4.

Kachori (za viazi) nakula sana though
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
1,921
Points
2,000
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
1,921 2,000
aiseeeee mkuu Chipsi mayai ni kwa Afya kula upate Vitamini A, B and etc
Hapana mkuu hiyo lishe wanapendaga wanaume wa daslamu, mimi nikila hivyo hua sishibi labla nile kwanza ugali nikishashiba ndio nitafune hivyo vidude kama vile nakula popcorn.
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
1,921
Points
2,000
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
1,921 2,000
Nimekuja mbio nikadhani mkuu zero iq umeamua kutoa ofa leo ya chips yai kwenye kiwanda chako. Kumbe promo kama lote.
Mkuu ofa ya Zero IQ nakushauri ukae nayo mbali, la sivyo utakuja kusoma humu thread inayozungumzia jinsi alivyokuchakata baada ya kukukaribisha kwenye kiwanda chake cha kuchakata viazi.
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,451
Top