JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
natafuta kioo cha samsung j7 ambachi hakijatumika sana..bei iwe ya kawaida
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Huu mchezo ulikuwa na mambo yake kipindi hicho. Nilijuta kwanini nilicheza kombolela na wakubwa walionizidi umri. Nikiwa na umri wa under 7,niliwahi kuondoka na mpira yakiwa ni maamuzi yangu ya...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original. Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita. Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua? Daaahh, life bana linatupeleka puta sana...
33 Reactions
306 Replies
16K Views
Uforgetable mistakes
2 Reactions
3 Replies
1K Views
hiki kinauma sana kikiibwa hebu tuambie kitu gani cha thamani ulichonunua kwa hela yako mwenyewe
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Jamani kwa wadada ambao hawajaolewa na wakaka ambao hawajaoa embu njoon tujadili kwanini hatujaoana??
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wanaenda na matukio tayari washafanya yao kwenye kisa cha lori la mafuta hahahaaaa
0 Reactions
0 Replies
914 Views
HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wawili je, ni sawa au ndio kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani muda mrefu bila ya kupata mchumba?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Watanzania utalii unatuharibu tukija kwenye uhalisia wa maisha ni vyema ukienda kutalii ama kuangalia kwenye TV mambo mengine tusiyalete kwenye jamii ni aibu sana Nilikuwa nimekaa sehemu napata...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuanzia leo hii hata nikiona gari la babycare limeangua ni kufungua miguu yangu kwa speed ya ajabu...................Watanzania wenzangu mafuta ni mafuta tu.... ninasikika au niongeze sauti? au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani unaweza ukatamani mimba ikae miaka kadhaa, si kwa ladha ile! Kama na wewe una experience na hili share nasi pia!
1 Reactions
35 Replies
9K Views
Inasemekana waliitumia Bibi zetu katika kurekebisha sehemu zao,,, hii ilipelekea Babu zetu kufuraia Utamu [emoji3] Wadada/Wamama kazi kwenu,,[emoji12]
3 Reactions
96 Replies
10K Views
Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ndimi. Aseee Mimi nikiona mtu, mwanamke au mwanaume kavaa miwani ile ndogo ya mtu mwenye matatizo ya macho halafu ndio awe mwembamba, naona kama ana udhaifu Fulani hivi, yani naona kama hana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Knock! Knock! Knock...!! The devil want to come in... Muvi kubwa inayopendwa na wengi duniani Avengers Endgame is coming.. Officially inategemewa kutolewa tarehe 26/4/2019 United State. Jina...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Nilijikuta nabuni style ya kukata gogo nyumba ya kupanga hadi leo naitafakari sana nabaki kucheka tu. Nilikuwa nafanya masomo kwa vitendo, sasa nilienda mkoa flani kwa mwaliko wa rafiki angu...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Hindi gani ninaweza kuondoa (disk read error) wakati wa kupiga window kwa njia ya flash...maana ni shidaa sans... pis kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Habari za mda huu wana Jf, Naomba tujadiliane kuhusu hili jambo kama kichwa cha uzi kinavyosema Kwa mfano unaweza ukawa umetoka kwenye mishe zako unarudi home ukaona Butcher kubwa imepigwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake wenye makalio makubwa wanapata shida sana kariakoo hasa wanapotembea mizigo ikitikisika Tufanyaje ili jamii iwaone ni binadamu kama wengine Mwenyezi mungu kawaaumba hivyo na maumbo...
0 Reactions
8 Replies
872 Views
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
6 Reactions
79 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…