Kwanini mara nyingi muone wa nje haundeni na kilichomo ndani?

mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
10,149
Points
2,000
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
10,149 2,000
Habari za mda huu wana Jf,

Naomba tujadiliane kuhusu hili jambo kama kichwa cha uzi kinavyosema

Kwa mfano unaweza ukawa umetoka kwenye mishe zako unarudi home ukaona Butcher kubwa imepigwa branding ya ukweli ya mapicha ya nyama iliyonona na masato bila kusahau kuku, ukajisemea hawa watakuwa na nyama nzuri samaki fresh, ngoja niingie hapa nichukue hata kilo kadhaa

Unaingia ndani unakuta nyama ni mbaya alafu samaki hamna wala kuku. Muonekano wa nje umekuponza

Vivyo hivyo kwenye salon unakuta salon imepambwa na mataa kibao yanazunguka kwa nje branding ya nguvu unasema hawa watakuwa ni vinyozi wazuri ngoja ninyoe hapa

Unaingia unaelezea unavyotaka kunyoa, unashangaa mtu amekunyoa kama Madenge hadi unachukia unaamua tu kutoa nywele zote zianze upya. Muonekano wa nje umekuponza

Nyingine ni hii unakutana na mdada mkali yaani sista duu haswa unajisemea moyoni huyu atakuwa mtamu balaa, unaomba namba baadae unaamua kujilipua unaingiza vocal
Shetani sio Athumani, unakubaliwa na unaahidiwa mbunye. Siku ya kumtafuna sasa ile unamvua pichu unapiga chafya hapa mbagala. Muonekano wa nje tena umekuponza

Lakini pia unakuta mdada yupo kawaida amevaa sketi yake ya mtunguo yaani yupoyupo tu ila ni mtamu balaa

Hapa ndio tunaukumbuka ule usemi wa 'Don't Judge a Book by its Cover'

Karibuni tujadili
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
10,149
Points
2,000
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
10,149 2,000
Umezunguka weeeeeee! Ila hoja yako ilikuwa kwenye qumer ya wadadaView attachment 1180849
Hamna. Ulishawahi jikuta uko mjini njaa imekushika ukasema utafute restaurant karibu ule, unazunguka kidogo unakutana nayo imepigwa branding ya mamisosi ya ukweli na picha ya soda zinatoa jasho, unaingia unaagiza labda wali nyama unaletewa. Unakula kijiko cha kwanza unakuta wali ni mgumu unatafuna utafikiri unakula bisi alafu bei juu
Lakini kuna mama ntilie wanapikia tu hata chini ya mti na wana wali wali mtamu balaa
 
lhera

lhera

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
1,479
Points
2,000
lhera

lhera

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2018
1,479 2,000
Kuna mahali niliona mandhari mazuri nikaona ngoja niagize chakula hapa

Nikaingia pale nikatajiwa vyakula vilivyopo nikavutiwa na wali maini nikaletewa yaani kwa macho tu sijavutiwa na wali wala hayo maini yao,

hadi mdomoni si kizuri tena si maini ni vijiini nikawaza kwa chakula hiki itakuwa 2000 kumaliza kuuliza bei gan? 4000 niliumia sana, tatizo si 4000 tatizo nilichokula hakiendani na hiyo bei
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
10,149
Points
2,000
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
10,149 2,000
Kuna mahali niliona mandhari mazuri nikaona ngoja niagize chakula hapa

Nikaingia pale nikatajiwa vyakula vilivyopo nikavutiwa na wali maini nikaletewa yaani kwa macho tu sijavutiwa na wali wala hayo maini yao,

hadi mdomoni si kizuri tena si maini ni vijiini nikawaza kwa chakula hiki itakuwa 2000 kumaliza kuuliza bei gan? 4000 niliumia sana, tatizo si 4000 tatizo nilichokula hakiendani na hiyo bei
Hahaha uliponzwa na muenekano
Mimi hyo ishanikuta sana saivi nikiwa mahali njaa imenikaba natafuta baa kubwa karibu nile hata mchemsho au nyama choma na ugali
 

Forum statistics

Threads 1,325,761
Members 509,278
Posts 32,202,083
Top