Habari....
Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini??
Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume??
ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua...
*Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-*
1. *WAROMBO; *Hawa wajanja sana kibiashara/*
*wezi pia.* *wanapenda dili za magendo.* *Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini...
Hakuna kitu kinanikera kama tabia hizi za vijana wa mjini wao wanajiita wazawa
Kuomba posho yaani hii tabia siipendi kabisa mtu ukikutana nae tu kama hamjaonana kitambo lazima akulilie posho...
Wana chitchat, karibuni kwenye shindano la kumpata Mwana jf ambaye ni maarufu, napendekeza majina haya yaingie kwenye mzunguko wa kwanza ambayo, baadae yatapigiwa kura
1.pascal mayalla
2.Mshana...
An Ad JF kama huna connection hupati wakuku PM at mtu mmoja
Kweli Bongo Nyoso
Embu tirilika ata kitu kimoja unachoweza pata bila connection ukiachilia Hewa kw apa kwetu Bongo...
1:Nilikuwa NAPITA barabarani, nikaumwa na nyoka. Nani atanisaidia?
2:Nilitumwa na mama KUSAGA UNGA; njiani nikakuta mto umefurika! Nitavukaje?
3:Mtoto mdogo anazikwa kaburi la futi tatu. MTU MZIMA...
Aliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia?
Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
Wale wana JF tunaotupia dawa(kamchongo) tujuane haPa.huu hapa Kuna jamaa yangu kanikeletea kutoka kigamboni Ni mkali balaa.napenda kaudongo kale ambacho kana moisture kwa mbali sio Kama huu wa...
katika 100% upo katika kundi gani?
10%= mabaharia fake
30%= wanachama wa CHAPUTA hapa ndani yake wanawake wapo asilimia 2% tu asipimia 98% ni kina wanaume wa dar wengi wao wakiwa ni UVCCM
25%=...
Wadau,
Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana...
Miji 10 yenye pisi kali:
1. Dar 2. Arusha
3. Dodoma
4. Bukoba
5. Tanga
6. Moshi
7. Babati
8. Singida
9. Mwanza
10. Mtwara
Dar: kimbilio la pisi grade A nchini, kuna kila aina ya pisi sound zako...
Aisee hizi habari mbaya sana hasa kwa mji uliobanana kama Dar es salaam. Nilidhani ni propaganda ila sasa mambo sio kabisa! Na hizi daladala zetu full kubanana mwendokasi ndo balaaa aisee itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.