bulletface
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 354
- 392
Ndugu zangu wanajf hivi hii misemo ya laki si pesa, milioni matumizi nyakati hizi kiu halisia bado inatumika au imebaki zilipendwa
unaishi kijiji gani?Ndugu zangu wanajf hivi hii misemo ya laki si pesa, milioni matumizi nyakati hizi kiu halisia bado inatumika au imebaki zilipendwa