JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanachit chat kutokana na waandishi wa habari za udaku kulala mbele. Kiwatengu nashika pen kuwashushia News nzito na zenye uhakika... Karibu udaku!! 1. Hatimaye Munkari aolewa na Afisa...
17 Reactions
199 Replies
20K Views
Wanajamii forum wenzanguu uvumilivuu umenishinda mimi na nikiendelea kukakaa ntaumizaa moyoo mwishoo ntaumiaa.Kama upo humuu ndanii Julieth ni PM nakuomba mimi ni kijana wa kiume mpole ,gentleman...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu kama utasikia mtu yeyote anauza simu aina ya samsung au iphone nzuri isiyozidi laki 3 ambayo ni nzuri isiyo na tatizo lolote iwe na rangi nyeusi we muache auzeee me sina elaaa
1 Reactions
9 Replies
3K Views
*Hapo ulipo hakuna hata mtu amewahi kusema wewe ni handsome ila iba uone* *Utasikia "halafu mkaka mwenyewe mzuri tu sijui kwanini...
7 Reactions
5 Replies
3K Views
Video hii ya mvulana akimpikia mdogo wake wa kike chakula (wali wa kukaanga wa Indonesia) imekonga nyoyo za watu wengi katika mtandao wa Twitter, ikitazamwa zaidi ya mara milioni kumi. Mbali na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji...
55 Reactions
142 Replies
17K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mdogo wetu c.pulisic mchezaji mnyumbulifu mwenye udambwi udambwi kutoka pale kwa trump. Habari mbaya sana hii kwa wapinzani dogo anakomaa sasa
3 Reactions
8 Replies
2K Views
0 Reactions
3 Replies
703 Views
Kwanini watu wengi hasa bongo hawapendi kabisa magari ya HYUNDAI,shida ni nini kufanya sio maarufu magari haya hapa bongo. Ukiyatazama ni magari yanavutia sana kwa muonekano wa nje,kwa machache...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
[emoji856][emoji856][emoji856]... Kwakweli nimeumia sana sana katika hili ndugu zangu, naweza onekana wa ajabu lakini nimeumia sanaaaa! Jana nimepokea taarifa ya kifo cha paka wangu ambaye...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za weekend wadau. Namtafuta huyu dada anaitwa Khantwe , ni muda sana amepotea Jf. Sio siri huyu dada alikuwa kwenye ramani zangu na nilishandaa majeshi nimtokee mara paap kapotea! Popote...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nina safari ya kwenda Tabora mwezi wa 3 kwa ajili ya biashara. Natokea mkoa wa Kilimanjaro, si unajua Kilimanjaro hamna mademu wa kiarabu au wabushiri. Nikiwa Tabora nina mpango wa kutafuta...
3 Reactions
198 Replies
122K Views
Wakuu, kuna hali fulani hivi huwa nashindwa kuielewa kabisa yaani mara nyingi nikiwa kwenye mizunguko au naelekea mahali ambapo nafanya vitu vyangu, huwa nakutana na watu au mtu karibia kila siku...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
1.Baa medi na mademu unaokutana nao club 2.Mama Ntilie 3.Wanafunzi wa vyuo 4.Demu uliyekosea namba 5.Demu mliyekutana katika mitandao ya kijamii 6.Demu wa saluni 7.Demu wa rafiki yako...
13 Reactions
112 Replies
13K Views
Kijana: halloo mama[emoji22] Mama: john mwanangu[emoji2]..hujambo baba? Kijana: mama siko sawa..miezi michache ilopita nligundua nimeambukizwa ukimwi,nsamehe mamangu nataka nirudi nyumbani...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwana chit chat mwenzetu aggy Happy birthday agata edward ishi miaka michache yenye furaha na amani
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Unajionaje katika Mazingira unayo ishi, je unaleta tija katika jamii yako? Kama huleti tija unafikiri nani anapaswa kuleta tija kama sio wewe? Je wajua nguvu kazi ya Taifa ni wewe? Badilika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom