Mwanaume kama una tabia hii acha mara moja

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,757
Habari....
Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini??
Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume??
ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua karanga, korosho na vitu vingine vya kiume. Huo ujinga wa kike acheni haraka sana. HASA WATU WA DAR.
 
IMG_3966.JPG
 
you are projecting your financial insecurity into other people's expenditure which is too bad
 
Uanaume wa mtu hudhihirika kwa KUTUNZA FAMILIA YAKE na kusimamia misimamo yake. Hata usipokula ice cream mwaka mzima au maisha yako yote na ukawa unakaa alikoolewa dadaako au kwa kakaako, wewe ni mama tu.

Hata hivyo vipo viashiria vya uanamke ndani ya mwanaume kama kupaka poda, kupaka lotion makalio na kuvaa vivazi vya kike, lakini hili la ice cream na ubuyu hivyo ni vyakula. Nadhani unakerwa na fact kwamba huko mashambani hamna ice cream
 
Uanaume haupimwi kwa kula Ice cream njiani,
Mwanaume ni kutimiza majukumu yako kwenye familia yako na kusaidia wenye uhitaji.
 
Mkuu Njemba Soro.
Hauwezi kubatilisha uanaume wa mtu kwa kutazama ulaji pekee, kuna mambo mengi ya msingi ya kumjudge mtu uwanaume wake kama;
1. Urijali na kutungisha mimba
2. Kujiamini, kuwa na nidhamu na kujiheshimu
3. Kujitoa katika kusaidia familia yake na jamii inayomzunguka
4.
5.
 
Dar inafaa sana kuwekwa katika listi ya maajabu 7 ya dunia.

Dume zima linanunua muhindi wa kuchoma linapakaa pilipili na chumvi na kutembea likitafuna njiani daaah...
 
Wanaume msio na magari mna shida sana.. Kila siku kukosoana...

Mwanaume kumfatilia mwanaume mwenzako ambae hakubugdhi wala kukupunguzia chochote pia nao ni umama...
 
Dar inafaa sana kuwekwa katika listi ya maajabu 7 ya dunia.

Dume zima linanunua muhindi wa kuchoma linapakaa pilipili na chumvi na kutembea likitafuna njiani daaah...
Huko mashambani si mnatembea mkitafuna miwa njia nzima, tena wengine mna ustadi hadi wa kula miwa mkiendesha baiskeli. Shida yenu wakuja mnatujazia jiji halafu mnatunanga wakati hizi hulka za kuvaa vitop zinaletwa na ugeni wenu hapa mjini
 
Kwetu hakuna mahindi ya kishamba hivyo ambapo yasipopakazwa pilipili na chumvi basi hayana ladha kama chama wanazokula watoto wa Dar
 
Kwetu hakuna mahindi ya kishamba hivyo ambapo yasipopakazwa pilipili na chumvi basi hayana ladha kama chama wanazokula watoto wa Dar
Kwa hiyo roho inakuuma sababu kwenu hakuna pilipili na ndimu au kuona watu wamekuwa wabunifu. By the way, hata haya ya kishamba yanatoka huko huko porini, sisi tunawapatia tu mbolea na mitumba ili msije huku mtulimie mahindi, sasa sijui huku umefikafikaje babu!

Kalime tafadhali, mambo ya ice cream tuachie wa mjini, we umeme wa REA tumia kuwashia taa ili usijichome na sindano unapokarabati kaptula yako iliyopasuka msamba
 
Habari....
Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini??
Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume??
ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua karanga, korosho na vitu vingine vya kiume. Huo ujinga wa kike acheni haraka sana. HASA WATU WA DAR.
We bhn fanya yako kama imeandkwa n ya kke kama ukla utapat mimba saw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom