JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni nani wewe unayenikataza nisiende chuoni na tranka... Ni nani wewe unayenikataza nisivae lile buti langu nililozawadiwa na mwenyekiti... Ni nani wewe unayeniambia et niende chuo na begi la...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Amani iwe juu yenu wakuu, Hatimaye nimeanza kuwa mkongwe sasa kwa jukwaa la JF. Nimejiunga kitambo sana humu ndani wakongwe wenzangu wanajua. Japo madogo wa juzi hawawezi jua. Nimejiunga kipindi...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Maisha yamekuwa magumu sana kipindi hiki. Nilikuwa nawaza kwa mfano nikisajili lain 20 za Vodacom kila laini nikakopa M-Pawa buku tano tano, 5000x20=100k (ntasubiria laini zimalize miezi mitatu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nikianza na mimi mwenyewe nakumbuka kuwa tulikubaliana 1. Hakuna kumtumia mwanamke nauli,kama nauli tutalipa akifa. 2."Hakuna kuoa mwanamke aliezalia nyumbani" 3.Hakuna kutuma na hela ya kutolea...
0 Reactions
10 Replies
916 Views
Mimi ni mwanaume mpenda mambo ya Teknolojia hasa hasa kwenye software. Napenda sana kumpata rafiki wa kike wa kuchat nae kama kupunguza stress tu za mizunguko. Kwa yeyote alie tayari ani-PM tu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamaa mmoja aligonga hodi na mwanamke kafungua. Jamaa kwa hasira akauliza, “una uchi?” Mwanamke akabamiza mlango kwa hasira. Jamaa likaondoka. Siku ya pili jamaa likarudi tena. "Hodi?" Karibu...
12 Reactions
10 Replies
3K Views
Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi 1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja 4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda...
0 Reactions
37 Replies
32K Views
Wakuu, kuna mtaalamu mmoja anadai anatoa pochi ya ajabu ambayo kila asubuhi unakuta pochi limejaa mipesa. Pesa hizo sharti lake ni zitumike siku hiyo hiyo zote, isibaki hata senti. Kesho asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Kuuliza si ujinga. Kuna wana JF huwa wanatumia alama zifuatazo kwenye comments zao ila hua sielewi maana yake, naomba mnisaidie 1.rolleys:rolleys:rolleys 2.:D:D:D:D 3.:p:p:p...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiona Lori la mafuta limedondoka karibu yako unapata taswira gani
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Saa 10:00 Timu Kuwasili Saa 10:20 Wachezaji Kushuka kutoka katika Ndege kwa Magoti na Makalio Saa 10:30 Wachezaji Kuangaliwa kwa Jicho baya sana na Wahudhuriaji Uwanjani Saa 11:00 Golikipa Shikalo...
4 Reactions
0 Replies
807 Views
Tatizo langu ni unyonge najuta kwanini sikupitia jkt au kwenda dojo lolote kujifunza mbinu za mapambano. Nimekuwa punching bag kila mtu anataka kunipiga na huwa wananipiga kwelikweli,jana...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
*Mwaka - Umri* 1950 - 69 1951 - 68 1952 - 67 1953 - 66 1954 - 65 1955 - 64 1956 - 63 1957 - 62 1958 - 61 1959 - 60 1960 - 59 1961 - 58 1962 - 57 1963 - 56 1964 - 55 1965 - 54 1966 - 53 1967 - 52...
28 Reactions
238 Replies
15K Views
Habarini ndugu zanguni.naamini maisha yanaenda mbele kiulaini kama kawaida.kuna jambo nimeli observe mara kadhaa limekuwa likinisikitisha sana. Hii kauli "Billman ngekuwa kama wewe ningewabandua...
34 Reactions
64 Replies
7K Views
Kuzingatia kwamba moja ya slogan za JF ni “where we dare to talk openly “ kuanzia sasa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu nitaweka hapa list ya post mbovu kabisa ( utumbo) zilizowekwa kwenye...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kinaitwa kifungua kinywa, kizungu wanaita break a fast. Maana kwa masaa 10 au zaidi uliyokuwa usingizini mwili ni kama ulifunga. Mashariki ya Kati utamaduni wao wa kifungua kinywa ni mikate...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma, Na pale...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii hali ilishawahi nitokea hapo nyuma ikapotea. Nilikuwa nikilala ikifika midnight nipo ndotoni nahisi kitu kinabana mwili mzima nashindwa kujitetea na sura haionekani ni hisia za kubanwa na mtu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi kuna uhusiano wa harufu kali za taka mwili (tajwa hapo juu)zitolewazo kutoka mwilini kuendana na chakula tunachokula?Taka mwili ya watu gani(waafrika,wazungu,waasia)hunuka zaidi? Bila kujali...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…