Sifa za wanaume katika mahusiano yao na mapenzi

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi

1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya

2. Nicolas-muongo

3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja

4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu

5. Joseph/Josephat-kicheche

6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa

7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu

8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri

9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege

10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia


11. Prosper-hajui habari za mapenzi

12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie(kuwadi)

13. Peter-maneno mengi ila vitendo sifuri

14. Christopher-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu

15. Elvis-Handsome ila hapendwi na mademu

16. Edward/Eddy -serious sana kwenye mapenzi

17. Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha

18. Ally-wasiri sana kwenye mapenzi

19. Mohammed-anapenda watu waliomzidi umri

20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya

21.Frederick-anapenda sifa kwa wanawake ili apendwe

22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli

23. Elias-anapenda mademu ila anaogopa kuwaambia

24. Frank-huyu mpole, hajui kudanganya, wanawake wanajitongozesha wenyewe

25. Joachim-hana habari na nademu, anaamini ipo siku ataoa tu

26. Benjamin-anapenda achape tu atembee

27. Steven-hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa

28. Gerald-mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu

29. Elisha-anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii

30. Benard-akipenda kapenda

31. Daudi-hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa

32. Davis-anapenda sehemu sahihi lakini uacha na kupotea pabaya.

33. Daniel-ana maneno mengi sana na ni muongo

Mengine yanakuja.....

Kwa majina ya wanawake na sifa zao kimapenzi nenda hapa---->>>
 
dah we jamaa hatariii sana yaaaaaniiiii mlemleeee kabisa kuna jamaa rafiki yangu alikuwa anaitwa Joachim yeye alikuwa hana habari kabisaa na mademu mpaka leo eti
 
MAJINA YA GIRLS NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI

1.Nancy - Muongo

2.Julieth - Kicheche

3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu

4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza

5.Hellen - Ana busara anapozungumza na mpenzi wake

6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa

7.Eunice - Hapendi ndugu wa mume wakr

8. Agness- Ana upendo wa dhati na Akipenda kapenda

9.Pauline - Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka

10.Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake

11.Mariam - Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake

12. Loveness - Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu

13.Monica - Anajivunia mpenzi wake popote

14.Mellisa - Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka

15.Elizabeth - Hapendi kujihusisha na mahusiano

16.Emmy - mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi)

17.Frida - Anapenda sifa kwa wanaume

18.Theresa - Mvumilivu ktk mapenzi

19.Eve - Hana mwanaume maalum,

20.Hilda - Muumiza mioyo ya wanaume wengi

21.Jackline - Ni mlipiza visasi

22.Lydia - Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc)

23.Carol - Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika

24.Josephine - Hataki mpenzi but anataka mume

25.Grace - Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja katika hao wengi

26.Anna - Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa

27.Beatrice - Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa

28.Rehema - Anapenda waume za watu

29.Brenda - Akipenda anapenda kufa

30.Diana - Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu

31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano

32. Jane - Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole

32.Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu

33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa

34. Aneth - Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake

35.Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi

36.Violeth - Mkorofi

37.Sylvia - Mkimya sana awapo na mpenzi wake

38.Christine - Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake

39.Doreen - Ana aibu sana kwenye mapenzi

40.Magreth - Anapenda sana ila anaumizwa sana pia

41.Cleopatra - Anapenda masihara na mpenzi wake

42.Emeldah - Hatongozwi ila anajua ipo siku ataolewa tu

43.Sandra - Ana wivu kupita kiasi

44.Mercy - Anapenda kuigiza upole kwa mpenzi wake angali ni mtata

45.Jessica - Muaminifu sana
 
Jina langu lipo ila ni tofauti na ulichosema
Afu pia jina huwa halioneshi tabia ya mtu
 
Majina yote hayo niya jamii ya akina Donald Trump, sisi wenye majina ya Gwandumbigule Tupamakoleo nafikiri haituusu.
 
dah we jamaa hatariii sana yaaaaaniiiii mlemleeee kabisa kuna jamaa rafiki yangu alikuwa anaitwa Joachim yeye alikuwa hana habari kabisaa na mademu mpaka leo eti
Ni kweli Hata Mimi namjua mmoja Dada zake walikuwa wanamlengesha lakini wapi
 
Kama kuna ka ukweli hapo kwenye majina ya kike maEx wangu asilimia kubwa yanaendana na tabia zao..
 
Back
Top Bottom