Ni nani wewe nauliza ni nani wewe

Kichenza

JF-Expert Member
Aug 27, 2018
220
240
Ni nani wewe unayenikataza nisiende chuoni na tranka...

Ni nani wewe unayenikataza nisivae lile buti langu nililozawadiwa na mwenyekiti...

Ni nani wewe unayeniambia et niende chuo na begi la mgongoni tu huku nimeweka kadeti tatu nauliza ni nani wewe...

Ni nani wewe unayeniambia nikifika chuo nianze kuvaa zile suruali zinazobana chini...

Ni nani wewe unayeniambia nikifika chuo nisikae hosteli nikapange mtaani

Unazani mimi nilisoma HKL kama wewe, Unazani mimi naenda kusoma Human resource management kama wewe...
 
ni nani wewe unaekwenda chuo ili tuu upate pesa za mkopo wa elimu ya juu.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom