Rafiki wa kike anahitajika

Mtundu wa Tech

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
642
606
Mimi ni mwanaume mpenda mambo ya Teknolojia hasa hasa kwenye software.

Napenda sana kumpata rafiki wa kike wa kuchat nae kama kupunguza stress tu za mizunguko.

Kwa yeyote alie tayari ani-PM tu.

Sichagui umri yeyote awe bint au mama mtu mzima sawa tu maana ninachopenda sana mimi ni kuchat huku nikishare nae kuhusu hizi Tech Tricks na kuunda Tech Tricks Team(T3)
 
Aaah aaah aaah unajua mkuu.
Hizi Tech Tricks kuna muda huwa zinachoshaga so kupunguza uchovu unachat na mwanamke huku mkielezeana mambo ya android na hizi IT platform.

Na nimechagua mwanamke kwa sababu wanawake wapo nyuma sana kwenye Tech kuliko wanaume sasa nataka niwaweke sawa hata kama watakuja 20 au zaidi wote nitakuwa nawapa madin ya hizi IT issues
Kwahiyo mkuu, unamtegemea mwanamke ili kupunguza stress ??
 
we jamaa bhaana.

Mambo ya sex me siyapi sana kipaumbele mzee baba. Me nataka kuwaweka wanawake wawe karibu sana na hizi IT issues maana wengi huwa tunatofautisha kati ya IT na OT
Muwe mnachati kwa binary au sio.? Ukipata wawili nipunguzie mmoja
 
we jamaa bhaana.

Mambo ya sex me siyapi sana kipaumbele mzee baba. Me nataka kuwaweka wanawake wawe karibu sana na hizi IT issues maana wengi huwa tunatofautisha kati ya IT na OT

Hao wanawake kama wao wanayapa kipaumbele mambo ya sex na tech utawaacha kwelii mtaalamu
 
Mimi ni mwanaume mpenda mambo ya Teknolojia hasa hasa kwenye software.

Napenda sana kumpata rafiki wa kike wa kuchat nae kama kupunguza stress tu za mizunguko.

Kwa yeyote alie tayari ani-PM tu.

Sichagui umri yeyote awe bint au mama mtu mzima sawa tu maana ninachopenda sana mimi ni kuchat huku nikishare nae kuhusu hizi Tech Tricks na kuunda Tech Tricks Team(T3)
Nime ipenda mbinu yako na STAILI umeyo tumia.....!
KUPATA WA KUPUNGUZA STRESS

But humu utajiongezea tu stress
 
Inategemea na mazingira tutakayoongelea maana mimi nikiwa kazin akili zote zipo kazin na huwa sipendag kuchanganya na sex.

Hapa nilipo nimekutaka na vishawishi vingi sana na nimevikwepa.

Kuna mdada flan hiv akanifunulia sket lake ili nimtaman ila wapi nikamwambia kuwa nikiwa kazin huwa naheshimu sana kazi zangu na haya mambo ya sex yana mida wake
Huyapi kipaumbele, je ukipewa unakataa au...?
 
Back
Top Bottom