Ushauri kuhusu hili pochi la pesa

mumewanguu

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
261
259
Wakuu, kuna mtaalamu mmoja anadai anatoa pochi ya ajabu ambayo kila asubuhi unakuta pochi limejaa mipesa.
Pesa hizo sharti lake ni zitumike siku hiyo hiyo zote, isibaki hata senti. Kesho asubuhi unakuta zingine, yaani daily, ila usipozitumia zote usimlaumu mtu.

Hebu nipeni ushauri, nichukue ama?
 
Bora utafute kipochi manyoya unaweza ukatia mimba na kupata mtoto
Nalog off
 
Back
Top Bottom