JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Uongozi wa Chama wa wanaume wasiooa Tanzania unawatangazia kuwa kutakua na kikao cha dharura kesho saa 10:00 am. Ajenda kuu ni kujadili jinsi gani tutaweza kuepuka Upepo mkali wa kisulisuli ambao...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninapozungumzia marafiki zangu wewe ni miongoni mwa marafiki zangu wa faida kabisa hata nikiwa na shida nikuamshe usiku wa manane lazima unisikilize pamoja na mm na kausumbufu jamani lakini...
35 Reactions
1K Replies
54K Views
Hii style classic ya kunywa soda, unatumbukiza karanga kwenye chupa.
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wenu vijana wa miaka miaka 80 na 90. Nasikia kipindi hiko kuna muziki ulikuwa unaitwa chachacha sijui chakacha. Ninataka kufahamu officially genre ya hizo nyimbo...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Haya ndio paaap umepewa masaa 24 ufanye uvunjifu wa sheria na hutoshtakiwa. Utafanya tukio gani la kihalifu? Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna vitu viligunduliwa na mababu zetu na sisi tunavichukulia kawaida sana Ila ukivichunguza kiundani utagundua mengi yaliojificha.Chunguza picha hii na utuambie unaona nini katika ususi...
0 Reactions
7 Replies
901 Views
Yaani kila channel ya Bongo ninayofungulia halikai mbali, linarudiwa na kurudiwa, hivi hawa watu wana pesa kiasi gani? namaanisha lile tangazo la hakatwi mtu hapa.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nawasalim wote. Nipo Geita nimeingia Jana mliopo Geita njooni PM tupeana maelekezo na mwongozo wa huu mji wa madhahabu ,nini cha kufanya na ni kipi niepukane nacho ili niendane sawa na wenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wakuu Leo niko hapa kumuomba MUNGU anijalie hekima, busara, mapendo pamoja na utajiri wa moyo na mali na pesa Ni kwanini nimeamua kumuomba utajiri wa moyo, mali na pesa ni kwa...
1 Reactions
0 Replies
697 Views
.....
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Wadau Umuofia kwenu. Nilikutana na visa kadha wa kadha katika maisha ya nyumba za kupanga. Kimojawapo ni wenye nyumba kuamuru wapangaji tujisaidie choo cha peke yetu na wao cha kwao, lakini cha...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuzaliwa, kusoma, kazi kisha ndoa, watoto, kujenga nyumba kusomesha watoto kisha kifo maisha ni nini? Kuwa na pesa nyingi bank kama mzigo wa haja kwenye public toilet, maisha ni nini? Au maisha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo oct 27 usiku mnampango gani wachawi. Maana naona wachawi wa USA wanacelebrate embu utujuze kuna nini? Na hii "2731" namba maana yake nini? Rakim
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wote humu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kisiwa kinaitwa "Fungu Yasini", Nimeona picha zake nimevutiwa nacho kukitembelea ukizingatia ku fanya "voyages" ni DNA yangu. Nimefika...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
NAOMBA NITOE WASIFU WA WALE WANAJF WALIOZALIWA KUANZIA ATAREHE 7,17 NA 27 SIFA ZAO: A. Ni watu walio na moyo wa ukarimu na wenye ujasiri katika kile wakifanyacho B. Ni watu wenye kuthubutu...
6 Reactions
10 Replies
26K Views
Sina maneno mengiii listi hii hapo. . Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
9 Reactions
203 Replies
25K Views
Fuata hatua moja kati ya hizi ili kudumisha amani katika ndoa yako. 1.Ukiingia bafuni kuoga nenda kaoge na mkeo 2. Kama itashindikana kwenda kuoga na mkeo basi nenda kaoge na simu yako Hivi vitu...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Yaani huwa nikiangalia pantoni au meli na boat ilivyo kwenye maji wakati inaelea nikivuta picha mule mvunguni najua kuna kitu kinafanya iende yaani engine au motor lakini mule chini nashindwa...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Leo nimeonja hii product ya Azam (kwenye picha hapo chini[emoji116]),, aisee!!, sio siri huyu mzee yupo vizuri. Kuanzia vinywaji, nafaka, mpaka king'amuzi huyu jamaa anakimbiza...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Namtafuta ndugu yangu wa karibu kabisa tena mtu wa peponi. Nilipotezana naye miezi miwili iliyopita. Mtu huyu wa peponi mwenye taarifa zake anieleze isijekuwa kishaenda peponi na kuniacha...
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Back
Top Bottom