Mwaka mpya na mambo mapya.wakuu najua mko vyema kabsa.Hebu nataka kuulza kuhusu hawa memba wetu smart911 na mahondaw.Hawa jamaa sijawahi kuona comment zao zikiwa ndefu tangu kuingia kwangu jf. kwa...
Mimi nikisikia kuhusu village people, kinachokuja kichwani ni wachawi na watu wasiopenda maendeleo yako. Yaani wakiona umepiga hatua tu, hao wanakuja kukurudisha nyuma. Utasikia huyu naye...
Duniani kuna mambo yanashangaza sana
Kuna mzee mkulima mwenye umri wa miaka 81 anayejulikana kwa jina la THAI NGOC hajafanikiwa kupata usingizi ndani ya miaka 60
Yaani yeye anashinda anapiga...
Watu mna upwiru siyo kawaida, kwa mlivyojazana na kushupaza vichwa kwenye huo uzi wa mrembo, naamini wengi wenu humu vichupa vimejaa.
Enewei, mida yangu ya kujidai, njooni jamvini tusemezane...
Ndio, nimealikwa kwa rafiki zangu wakristo, nami ni mwislamu.
Pilau nimekula, nyama za kuchoma, pilipili, kachumbari, samaki, juisi na pombe juu nimekunywa
Tunafurahi na hata uzi huu nauandika...
Ndugu wana jf binafsi nimechoshwa na uchawa wa hayo mazimwi hapo juu nawaomba ili kutowapa airtime yoyote kama alivyoshauri comrade Mshana Jr nawaomba wakipost chochote kikaushieni msikoment Wala...
Mimi sio nabii ila tarehe 1 jan 2026, "daughter of long time" atakuja na uzi wa namna alikula bata kwenye mkesha na bwana wake na utapata comments 300
secretarybird
Mjusi Sharobalo
Vincenzo Jr...
Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka...
Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike
Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii...
Habari zenu wakuu,
Kama ilivyo kwa wa Tanzania wengine swala la kusoma vitabu ni gumu sana kwetu hasa vijana na mara nyingi wazee ndo wamekuwa na utaratibu huo.
Leo nataka ku share na nyinyi my...
Wakuu
Hii mada ni maalumu kwa wanywa pombe aina zote za kienyeji(gongo,wanzuki na ile ya mtama) na za kisasa (pombe kati na soft)
Tuambie kwa nini unakunywa pombe?