My Take
Naona Gen.Muhoozi ni Mzee wa heavy duty trucks,amemaliza Kila kitu πππππ
https://www.instagram.com/reel/DTyEsXKjGcv/?igsh=MXR0d2FiZGIxZzlwMg==
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .
Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto...
Habari wakuu,
Hivi kuna mtu mwenye Mod ya StarTimes Apk (cracked apk) na kama unayo au unajua site ambayo nitaweza kuidownload please naomba nijulishe hapa.
Google map location inaonesha ukanda wa Gaza wa Tanganyika (Tanganyika Gaza strip) Unaanzia Kimara Baruti mpakani ni Mbezi Kibanda cha mkaa
Majimbo yake randomly
Kimara Suka
Bucha
Temboni...
Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamooπ, weeh wampe tu Teuzi
anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
Salaam wanajamvi,
Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani?
Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa...
Pale umeenda Kanisa geni na mumeo alafu Mtumishi amuite mbele bila kujua ni Mumeo alafu ghafla anasema kijana nakuona ukioa mwaka huu tena utamuoa mzungu
Dada Utafanyaje ? ππππππππ
Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse.
Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
Haya maradhi yalitutesa mno kipindi tunasoma secondary
Hadi Leo sijui ulitokana na Nini?
Huo muwasho wake hata kaswende na U T I Sugu hazifiku hata nusu π
Hahahaa! Inauma ila tamu. Mimi ni driller by profession so hii nchi nimezurura mno Alhamdulilah, kote nilipozurura napanyooshea mikono Moro Town.
Siku hiyo nakula gambe mitaa flani jirani na...