Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye...
Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎
Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui...
Asili ya fisi huyu kuitwa Musa ni kwa vile siku moja alipojaribu kumkamata mwanamke aliyekuwa amelewa; bibi huyo alimdhani fisi ni mumewe aitwaye Musa, hata akamwita kwa sauti kuu, “Musa Musa...
Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata.
Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale...
Videos shows people digging because they stepped in that area by mistake so they have to serve a punishment by digging. 😂😂
Even if your in a suit, you can’t survive the hoe once you breach the rule
1. Mke wangu, huwa najiapiza siwezi kumuacha kiurahisi kabisa
2. Jamii forums nimekuwa ni zaidi ya mlevi. Kama bado sijaingia humu hapo bado nitakuwa sijafanya kitu
Wewe je?
Wakuu!
Umetulia zako huna hili wala lile halafu ghafla unaona mmoja wao, ni mdudu gani kati ya hawa unamuogopa zaidi? 😅
A. Kunguni
B. Nairobi fly
C. Tandu
D. Nge
E. Chawa
F. Mende
Rejea title, rejelea jukwaa.
Ukitaka mada za maana nenda siasani kule ukqjionee vioja. Watanzania wanafki sana, tuambizane ukweli kwa kutoambizana kweli.
Niyasemayo ni haki, na dhahiri shahiri...
Kuna makamanda wa Polisi wa mikoa waliovuma sana enzi zao za utumishi Jeshini kwa kupambana na uhalifu. Mmoja wapo ni, Venance Tossi, Afred Tibaigana, Suleiman Kova, Omari Mahita, David Daud...
Leo katika pitapita zangu, nikaona nipite nimchukue binti angu.
Basi bana watoto wakaniona nimepaki nikashuka kwenye Vogue, nikazunguka nyuma yao. Wakaanza kumtania mwanagu, Neema(code) huyo ni...
Walikua maarufu sana hasa Twitter x" na Telegram,miaka ya 2021 mbaka 2024?
:Asha zungu
:Sauda Bubu
:Linda amossi
:Yanga girl
:Mona deus aka slim lady,
:Sy kivuluge
sijapata kabisa kuwaona si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.