Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji.
Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa...
Nakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa...
Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama.
Natafuta namna ya...
Wakuu habari
Naomba kufahamu kati ya unywaji wa pombe kali au bia,
Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhisi vibe fulani, ndio vinawaletea munkali?
Ladha gani mnayoipenda kwa bia na...
Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya...
Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye...
Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎
Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui...
Asili ya fisi huyu kuitwa Musa ni kwa vile siku moja alipojaribu kumkamata mwanamke aliyekuwa amelewa; bibi huyo alimdhani fisi ni mumewe aitwaye Musa, hata akamwita kwa sauti kuu, “Musa Musa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.