JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Demiss upo uko wapi?? Mie mzima wa afya njema nimekumiss huku jukwaani huonekani. Kimya ? Au umeolewa?? Tujuzane tukuletee zawadi ya heri. I miss u my dear friend huku tulikuwa tunasaidiana sana...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari, Mara nyingi watu hujifunza na kupata some exposure kutoka kwa mtu fulani na hasahasa mara nyingi watu huvutiwa na mengi kutoka kwa members wa JF, inaweza ikawa sio character halisi ya...
2 Reactions
99 Replies
6K Views
Tupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka
4 Reactions
492 Replies
59K Views
Hamna kitu inaumaa unarudu kwa Mangi unakutana najamaa wanahadithiana yaaanai leoo nimela.baa sitaa za bk miatan Mwingine Za buku Nimemimina kumi aisee mwenye ukweli hasa wale wa tbvu tujuzanee...
0 Reactions
3 Replies
524 Views
Lengo Ni ili umpate jirani wako mjadili matatizo ya maeneo ya kwenu au kujuzana machimbo au matukio na maafa ya huko kwenu. Naanza Mimi kwa sasa naishi mtaa wa mwenge mkoani singida. Karibuni msiogope
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hata kabla Mwigulu Nchemba hajaachia ngazi Wizara ya Fedha, huko Mbeya , Mafiati Mwanjelwa tayari kuna jamaa kmwita mtoto wake mchanga jina la Mwamala Mwatozo. Nyie watani zangu mna mambo!
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Eti uanze kuwawaza wanasiasa asee ndugu yangu utachelewa bure Hapa tuna tafuta Mia Mia tule Sasa wewe jifanye uko serious uone kama utatusua.. hapa Ni kupaa tu na kudana Kama nako hunywi pombe...
0 Reactions
3 Replies
546 Views
Wakuu salama? Kwa waliosoma shule za bweni (boarding) za mchanganyiko, mtakumbuka jinsi maisha yalivyokuwa "tight" hasa kwa shule zenye sheria kali kama zile za dini na taasisi mbalimbali...
4 Reactions
50 Replies
10K Views
Waungwana mabib na mabwana, Pisi kali, mabishoo, wakulima, wafugaj, wanamugambo, wajasiriamali, wastaarab, wakorofi nyoooote kwa pamoja elezeen shida zenu hapa. Rais ajae anaskliza mojamoja na...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Namzungumzia huyo mwenye rangi nyeusi [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Niliwaza labda niandike thread kwenye story of changes Kisha nimuombe mkwepu jr kunisapoti yaani aniombee kura.lakini Nikakuta napelea vipengele kibao yaani hata ukifunga siku 50 hupigiwi...
3 Reactions
5 Replies
613 Views
Asee wanawake bwana! Cjui hua wanawazaga nn! Unamweleza hisia zako juu yake kwa njia yamtandao (_tongozo) ..anakwambia tuma pesa kwanza nipate nguvu ya kuonana na kuongea naww!..cheni...
0 Reactions
8 Replies
791 Views
Kama challenge inavyosema Tafadhari tupia saa uliyovaa kwa sasa mkononi tuone. Nb hatupo hapa kudharau au kuangalia gharama na kukejeli wengine. N:B picha hii ya juu ni kwa hisani ya mtandao sina...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukubwa dawa zamani. Lakini kwasasa ukubwa pasipo na akiri na HESHIMA. Ni Sawa na mti usio zaa
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Niliwahi kusikia mahali kwamba heri masikini na watumwa wao ndo hawanaga stress kama boss eti kwamba matajiri wanateseka sana japo wana hela lakini haziwasaidii kupata furaha Wala kupata usingizi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunyweni bia jamani. Bia ni tamu Sana na inaondoa mawazo
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Ipo hivi, kwanza Mimi sipendi shida napenda mapenzi napenda mziki napenda vitu vingi tu ila sina malengo kama unadhani mimi na malengo tena imekula kwako sina malengo yoyote zaidi ya kusubiria na...
5 Reactions
9 Replies
834 Views
Kuna watu wapole, wastaarabu ukionana nao na ata kuishi nao,lakini kinyume chake ni wakatili lakini wengine hawajui, Wengine watakuchekea Usoni ukiwa nao lakini nje ya hapo ni manyamela ya hatari...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Back
Top Bottom