Hakika nitakula nchi mpaka pale nitakapopatwa na maafa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,561
44,748
Ipo hivi, kwanza Mimi sipendi shida napenda mapenzi napenda mziki napenda vitu vingi tu ila sina malengo kama unadhani mimi na malengo tena imekula kwako sina malengo yoyote zaidi ya kusubiria na nyie mpate maafa muone inavyokuwa kwa sababu watu tumebaniwa nafasi makusudi halafu sijui ni nani huyo amefanya watu mpaka tumechizi mtaani.

Sasa kwa taarifa yake mimi sio bogus sana eti mpaka nishindwe kula matunda au nishindwe kucheka au nishindwe kulala usingizi?
 
Umeshasema unapenda mapenzi na hupendi shida Sasa inakuaje uwe huna malengo mkuu.

Ata wa kukupa hayo mapenzi lazima uwe na malengo nae.
 
Kuna maisha baada ya kufa, hizo starehe za mda zitakupeleka kwenye mateso ya umelala, kumbuka mbingu ni halisi na jehannum ya moto ni halisi uchaguzi ni wako, Yesu alikufa msalabani kwa ajili yako kumbuka hilo

FB_IMG_1622219655501.jpg
 
Back
Top Bottom