JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wale wa mkoa wa Njombe,mbeya,Iringa Nipeni majina ya kibena kwa ajili ya mapacha. Haya ni baadhi ila si ya mapacha 1.Atupele 2.Atugavie 3.Alatuhiga 4.Alanzawe 5.Amsho 6.Tulazabihwa NB...
3 Reactions
36 Replies
966 Views
Kwanza ifahamike wanaume tunapata utulivu wa ubongo na burudani ya macho kupitia hawa wadada wenye maumbo mazuri. Ninaposema wadada wenye maumbo mazuri sihusishi sura, namaanisha kunzia shingo...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Kuanzia jana jioni nilianza kuona maruweruwe (halucinations) na muda mwingine nasikia watu wanatembea nikiwa nimekaa, ila nikigeuka siwaoni. Nikachukulia poa. Usiku nimekunywa maji ya moto yenye...
3 Reactions
17 Replies
918 Views
Baada ya kupata hela akaamua kwenda kulamba asali kwenye mzinga wa mtu na hali ikawa hivi
4 Reactions
15 Replies
768 Views
Habari ndugu zangu. Wale wapenz na members wangu wado penda kufatilia therd zangu sasa ivi nabanwa sana n mda ivyo sipo online uku mda mrefu masomo yanaendelea Kila siku na Kila mda.
3 Reactions
15 Replies
296 Views
Nani yuko macho muda huu Katika mazingira gani Ya furaha? Ya huzuni? Ya dharura? Ya sintofahamu Hospital au nyumbani? Gesti ama safarini? Peke yako ama...
4 Reactions
48 Replies
644 Views
Wiki ilikua ndefu hii, alhamdulillah imeisha, nimewamiss, njooni tuzogoe. Umeshawahi kushikwa na hamu ya kufanya kitu chochote mpaka ikabidi ubadili ratiba yako yote ili tu ukifanikishe...
9 Reactions
312 Replies
3K Views
Wadada wa JF mpo? Kwa hiyo huyo mhalifu mwenzako ameshakunulia Pashmina au utasubiri tu mwakani? Wifi yenu ataendelea tu kuvaa madera na vijora Binafsi napata ukakasi kumnunulia hayo mashuka...
5 Reactions
18 Replies
310 Views
"Kwaraha zetu peke zetu, na maprimitivu na maparalize" "Nimeshaongea na Elon Musk amesema atatupatia Internet bure" "Nimeshaongea na mkuu wa Satellite akasema atatusogezea satellite siku hiyo"...
3 Reactions
10 Replies
175 Views
Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani ?
5 Reactions
8 Replies
232 Views
Tupime macho wakuu, unaona paka wangapi kwenye picha?
3 Reactions
18 Replies
212 Views
Mvuta bangi mwanaume alivuta bangi akajiona uchi akadhani amevaa suti. akaenda kwa wenzake akawauliza suti imemtoa aje .mmoja wao akamjibu Poa sana ila tu tai umefungia chini sana
1 Reactions
3 Replies
159 Views
Ni aibu sana kitu unafanya kwa siri ghafla kikajulikana hadharani🙌. Upande wangu kama ambavyo ilivyo kwa watoto wengi hasa wa kike nilikatazwa kutumia simu mpaka nifike kidato cha nne,jambo ambalo...
11 Reactions
44 Replies
703 Views
John Sanga alikuwa ni mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua.... Wakati alipo kuwa...
7 Reactions
4 Replies
246 Views
Mwamba hazeeki kabisa!
7 Reactions
29 Replies
493 Views
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika...
3 Reactions
4 Replies
245 Views
Hivi n mchezo upi uliupenda kucheza ukiwa mtoto.
1 Reactions
6 Replies
111 Views
Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka...
23 Reactions
30 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…