Kuna siku mimi na marafiki zangu tuliendaga shamba la shule tukaiba tikiti. Tulichagua kubwa kuliko yote, tulikuwa watu wannne na lile tikiti lilikuwa kubwa ikabidi tukatafute wheelbarrow tuje...
Niliwahi kuwa na rafiki ambaye tulikuwa karibu sana kipindi tukiwa chuo. Sasa kuna siku niliibiwa simu ikabidi nitamtafute mpenzi wangu kupitia simu yake nimpe taarifa. Nikaja kununua simu lakini...
Visiwani huku nimekutana na haya matunda wanaita Shokishoki,
Kwa kuwa nafuata ushauri wa Dr. Janabi kwenye lishe basi nikasema acha niulize haya ni matunda Gani na niyanunue (sijawahi kuyaona...
Nilizoea kukuta menu za kawaida kama wali maharage, pilau nyama,
wali mboganboga na kadhalika.
Nilipoenda Dodoma kuna migahawa nikakuta wanauza wali ugali nilishangazwa nikijaribu lakini...
Amaa kweli kuwa uyaone...
Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu.
Hii ni elfu Saba za kitanzania
Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuu
Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu.
Mimi pamoja na kulala nilikuwa...
Unaamka asubuhi huku ukiwa na heng over ya jana usiku:
Unapasha maji kweny jiko la gesi ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na ya baridi unajimwagia, unaungua unaanza kupiga...
Usiku huu mwanangu amekuja ananipanga na uongo ambao na mimi niliutumia ujanani, akanikumbusha enzi za chuo. Sisi tulioishi nyumbani, wazazi walijitahidi kutulinda, ila wavulana wa enzi zetu...
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru...
Wakuu habari ya leo,.
(Chit-chats and jokes)
Leo em mniambie kwanza Kuna uhusiano gani kati ya hali ya hewa (baridi) na kula sana. kipindi cha baridi nakuwa njaa mda wote,. Yaani nakula kama...
Kwema wakuu baada ya kutumia pombe kwa kipindi cha miaka 11 tarehe 7.3.2025 nimeacha pombe Rasmi na pia nachagua Marafiki ambao hawanywi pombe bahati nzuri Mpenzi wangu Hanywi Pombe
Nakushauri...
Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii...
Wale wa mkoa wa Njombe,mbeya,Iringa
Nipeni majina ya kibena kwa ajili ya mapacha.
Haya ni baadhi ila si ya mapacha
1.Atupele
2.Atugavie
3.Alatuhiga
4.Alanzawe
5.Amsho
6.Tulazabihwa
NB...
Kwanza ifahamike wanaume tunapata utulivu wa ubongo na burudani ya macho kupitia hawa wadada wenye maumbo mazuri.
Ninaposema wadada wenye maumbo mazuri sihusishi sura, namaanisha kunzia shingo...
Kuanzia jana jioni nilianza kuona maruweruwe (halucinations) na muda mwingine nasikia watu wanatembea nikiwa nimekaa, ila nikigeuka siwaoni. Nikachukulia poa. Usiku nimekunywa maji ya moto yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.