JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Salamu baadae. Sku hizi RIP zimekuwa nyingi mtaani hata huku. jf wanautaratibu wa kuweka hio status kwenye profile yako pale unapofariki na taarifa wanazipata kutoka kwa watu wa karibu. Sasa...
17 Reactions
135 Replies
7K Views
Ukiwa umeshalewa unapenda starehe au ukishalewa nini huwa unafanya? Mimi nikishalewa huna nacheka hovyo tu nakupiga piga simu na kugawa hela hovyo Kingine ninachopendaga nikishalewa huwa...
1 Reactions
7 Replies
783 Views
@gentemycine - u mach noo mwingi. Kujiona yeye bora kuliko wengine na mashauzi ya hapa na pale. FaizaFoxy- udini, u CCM na ujuaji mwingi. mshana jr- hamble, intelligent and gentleman BAK, - very...
10 Reactions
82 Replies
6K Views
Umeshaambiwa Wananchi wapo katika Siku yao na Wewe tena Kelvin Kapumbu bila Huruma unapiga Bao la nguvu na la Ushindi hapo hapo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
-Mbulula -Kugegeda -Wazee wa buku saba(hii ni maarufu kule jukwaa la siasa) -Mtaani kwetu(Katika jukwaa lilee la mambo yetu) -Dhaifu -Napita -Mods ........ ......... Ongezea misemo...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Hakuna kitu kibaya kama Kupoteza nauli usiku na kila unaemuomba msaada anakuona kama nnya😒😒😒 Kukosa msosi harusini pekeyako halafu unaona wenzio wanakula mapilau na mapaja ya vyuku😅😅 kukataliwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kumuuliza muuzaji, "Una kuku?" Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani ikasoma...
13 Reactions
16 Replies
2K Views
Haya wana jamvi mara baada ya wakulungwa wa taliban kutuchukua nchi sasa embu tupate kuwatambua viongozi wateule wa taifa hilo [emoji4] [emoji1023]
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Huu ni uzu wa kuweka stutus. Weka status yeyote. Iwe picha, maandishi, sauti si video.
1 Reactions
45 Replies
8K Views
John Sanga alikuwa mwanafunzi mwenye kipaji cha uchoraji. Siku moja alichora noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu darasani. Mwalimu alipoingia darasani aliiona noti ile na, katika kuikimbilia...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili jambo linanisikitisha sana, pamoja na watu kutumia ID fake inakuaje bado wanakuwa na wasiwasi hadi wanajivisha jinsia zisizokuwa zao? Kidume kabisa kinatumia ID fake lakini bado kinajivisha...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeona iwe hivyo ... Nimejipima miaka 21 ya kupiga mneli na miaka 18 ya ugimbi mara zote naharibu nikiwa ugimbi ... Nabaki na mneli
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Vile CCM wanajifanya kuupiga mwingi kupitia mgongo wa Polisi,TISS na tume ya uchaguzi wakati wameshapitwa na wakati siku nyingi sana!😁😁😁
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Huwa inaadhimishwa kila mwaka kama sikukuu ya Sultani Jamshid wa Zanzibar. Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia leo
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari jamii f Ls & Gs, nimemaliza shughuli zangu mda huu nimeona nisilale bila kunena nanyi. Rejea kichwa hapo juu. kumekuwa na tabia ya wanaume walio wengi hasa waishio katika majiji kuwa na...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Ndio iko hivyo, Ukisemwa ukweli utahojiwa na ukisemwa uongo nao utahojiwa. Kuhoji huko hakutakuwa na ubaya maana kutakuwa na hoja. Hata sijui nimeandika nini hapa,, mlioelewa mnieleweshe sasa
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom