Tabia za wana JF wenzetu

cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,201
2,000
@wasioipendaserikaliyaawamuhii - wamejaa maneno machafu na hasira mbaya.

Naamini hata nyuso zao zinazeeka haraka
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,425
2,000
Tobaa weeee... kidogo nifikiri list ya wauza unga! nilivyosoma tena kichwa habari kumbe sivyo! dah! ngoja nipunguze kula sana ugali!
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,497
2,000

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom