JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Usishirikishe kila mtu kwa kila kitu chako, na jifunze kutambua matendo kuliko maneno. Wanafiki huongea vizuri, lakini vitendo vyao ndivyo vinawafichua
4 Reactions
2 Replies
135 Views
Amen! Hilo ni neno la hekima na shukrani ya kweli. Kuna baraka kubwa sana katika kuridhika na kutoa shukrani kwa kile ulichonacho mkononi, hata kama kinaonekana ni kidogo kwa macho ya kibinadamu.
8 Reactions
35 Replies
505 Views
Habari za Mchana Mwenzenu nimewiwa kujiunga na upadre ila nimependelea shirika hili la wajesuit, Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie nawezaje kujiunga na vigezo gani vinahitajika. Asanteni.
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Nipo hapa napata kahawa nzito na kashata huku nikimsubiri mgeni wangu, aliyeomba nimtumie nauli tangu jana. Ndani hakukaliki...
5 Reactions
27 Replies
359 Views
Nina miaka takribani mitano Huwa napita tu moshi na Arusha nikienda kwa kasongo Sijawahi kaaa kwa zaidi ya siku moja Pasaka hii yote nitakua huko...nahitaji kujua hotel nzuri na tulivu kwa...
8 Reactions
106 Replies
2K Views
Naona kitu kidogo huko insta utasikia mwaga moto kwenye comment
1 Reactions
14 Replies
171 Views
Mtu akipelekwa hospitali ya Milembe kwa mara ya kwanza, hasa akiwa na dalili za kuchanganyikiwa, hupelekwa kwenye chumba maalum. Ndani ya hicho chumba hakuna vitu vingi Ni ukimya tu na ukuta mmoja...
7 Reactions
30 Replies
585 Views
Tunaamini vibaka, wezi, wahuni, na watu wasiokuwa na tabia njema, nao pia huzeeka. Je, katika uzee wao, huwa tunawachukuliaje, kuna cha kujifunza chochote kutoka kwao? Je ni sahihi kuwaheshimu?
6 Reactions
72 Replies
723 Views
Nikisikiliza wimbo wa Kindamba kuniambia twende huwa najiuliza wanaoimbwa majina yao negatively wanajisikiaje? Mfano wimbo wa Yahaya wa Lady Jay Dee. Na mara nyingi ni waislamu ona mifano. 1...
5 Reactions
12 Replies
285 Views
Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009 Ugali uliitwa 1. Bondo 2. Cha Kikwete 3. Nguna 4. Muvero
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni...
4 Reactions
15 Replies
524 Views
Binafsi Nashukuru πŸ™πŸΏ, sasa USIHOFU, kaza!
2 Reactions
55 Replies
400 Views
Hii itawafanya wanao wawe na critical thinking and creative thinking. Maana ukiangalia watu wengi hawajui namna ya kufikiria.
8 Reactions
24 Replies
329 Views
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande.. Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke...
20 Reactions
930 Replies
81K Views
Leo nimepata wasaa wa kupiga story na mzee wa kiafrica akanimbia kwa umri wake wa miaka 90 hajawahi kuona uchawi toka amezaliwa anasikiaga tu. Just imagine mzee wa miaka 90 hajawahi kuona hicho...
6 Reactions
19 Replies
266 Views
Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni...
16 Reactions
22 Replies
479 Views
Walevi wote waione kwenye jalada πŸ˜‚
8 Reactions
33 Replies
382 Views
Kila chenye mwanzo huwa kina mwisho. Nimebakiza miaka 40 ya kuishi hapa duniani, unanishauri nifanye nini au niishije ishije kwenye hiyo miaka 40 huku nikipata furaha ya nafsi?
6 Reactions
60 Replies
641 Views
Kuna siku mimi na marafiki zangu tuliendaga shamba la shule tukaiba tikiti. Tulichagua kubwa kuliko yote, tulikuwa watu wannne na lile tikiti lilikuwa kubwa ikabidi tukatafute wheelbarrow tuje...
5 Reactions
3 Replies
151 Views
Niliwahi kuwa na rafiki ambaye tulikuwa karibu sana kipindi tukiwa chuo. Sasa kuna siku niliibiwa simu ikabidi nitamtafute mpenzi wangu kupitia simu yake nimpe taarifa. Nikaja kununua simu lakini...
10 Reactions
36 Replies
662 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…